olele
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 1,305
- 1,572
Kwa mnyenyeku mkubwa naomba kuliiza hili swali.
Ninafanya kazi kwa mwajiri binafsi, huwa anatoa leave allowance kwa kila baada ya
mwaka mmoja wa likizo..
je kwenye hii leave allowance ni kwa mwajiriwa tu au ni pamoja na wategemezi wake?
yaani kama nina familia nastahili kupewa nauli peke yangu au ya wanafamilia wote??
nawasilisha
soskeneth