Malipo ya mtandaoni kwa tanzania ni pasua kichwa sana

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
783
Reaction score
3,666
Nilikua nafannya malipo ya game, sasa kutoka na uizi mtandaoni, wanakata kwanza pesa kidogo, kisha unatakiwa kuingiza hicho kiasi cha pesa kilichokata kuthibitisha kweli ndio mmiliki wa hiyo kadi.

Sasa kimbembe kimekuja, wao wamekata salio kwa usd, ila kwenye kuweka kiwango unachagua sarafu unayotumia, cha ajabu kenya, uganda currency zao zipo ila TSh haipo.

Nimemkumbuk yule jamaa wa Zala Fernandes, Tz visheria sheria na urasimu mwingi kisha efficiency hamna kitu. Hata paypal imekua shida. Waliopewa mamlaka wanazingua sana
 
Kwenye seting za ilo game hujaweka uko tz ndiomana una ambiwa ulipe kwa usd alafu saiz tumia m pesa direct sio lazima mastercard au visa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…