Mwanahalisi ya leo ina headings zifuatazo: Malipo ya Salma utata., Takukuru mshauri wa CCM, Pia kuna makala ya Ndimara Tegambage inasema: Kikwete, kura na watuhumiwa ufisadi, Joster Mwangulumbi anachambua: Kinana mwongo au Msahaulifu? Mbasha Asenga anauliza: Kwa mabango haya, hofu au JK hajulikani? Mwanakijiji anasema: Kama wao hawawezi, wengine wanaweza. Na Saed Kubenea anasema: Makundi CCM yatokana na maslahi binafsi. Haya hiyo ndiyo summary kwa ufupi kuhusu headings na makala kwenye gaeti la MwanaHalisi