njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,144
- 6,942
" On board, on board, First lady, first lady!" kwa maana kwamba wamembeba mke wa raisi na siyo abiria wengine kama ilivyo zoeleka.
kwani mke waRAIS anitwa nani..?? Nataka kujua kwani nchi haina rais kwa sasa,....??!! sibishi nataka kujuwa tu.. ! sababu sifahamu kama kipindi hiki cha kampeni JK sio rais tena au ni mwananchi wa kawaida kama mimi ??!