The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Mie nafikiri CCM wasingejibu maana all in all she still a first lady and she will be the first lady until another president swear in, so I think she still entitled all the first lady benefits. Changanya na zako
kwani mke waRAIS anitwa nani..?? Nataka kujua kwani nchi haina rais kwa sasa,....??!! sibishi nataka kujuwa tu.. ! sababu sifahamu kama kipindi hiki cha kampeni JK sio rais tena au ni mwananchi wa kawaida kama mimi ??!
Usijifanye unajua. Hakuna asiyetambua kuwa kuna ni first lady lakini ukweli ni kuwa anachofanya si majukumu ya first lady. Yeye ni first lady wakati mume wake anapokuwa rais. Anapotembea kama mwanachama wa chama fulani na kuingia kwenye kampeni (hata kama ni kwa ajili ya mume wake) lazima kuwe na tofauti kama anaenda kama first lady au mwanachama. Ndo maana Kinana alisema kuwa anaenda kama mwanachama na anaenda kwa gharama za chama. Hoja ya ya "benefiti za first lady" (afadhali ungetumia neno privilege) zinaingia wapo?Wewe unazijua benefiti za First Lady au unajisemea tu ili utoe mchango JF??
mmmhh sina uhakika ila huwa nasikia wanasema mgombea urais kwa tkt ya chama ..... au wanataja jina tu .. hawasemi raisi .........
so kwa maana hiyo hata first lady haitakiwi kuitwa hivyo
Kinana ashtakiwe kwa kudanganya umma na kufoji risiti kwa madai ya kulipa serikali na Salma ashtakiwe kwa matumizi mabaya ya pesa za umma
Naambiwa na walioko mjini kuwa Mwanahalisi kwishnei mtaani!!! mbona ajabu!
Kwa wale ambao kwa sababu moja ama nyingine hawajafanikiwa kupata nakala mwanahalisi mpaka sasa wanaweza kupata habari muhimu ikiwemo ya First Lady Wao hapa chni:
Gazeti la MwanaHalisi
jamani kama inawezekana kubenea na timu yake waambiwe ku update website timely. We can pay for this service (eg monthly subscription). Kuna maeneo ambayo hard copies hazifiki
Usijifanye unajua. Hakuna asiyetambua kuwa kuna ni first lady lakini ukweli ni kuwa anachofanya si majukumu ya first lady. Yeye ni first lady wakati mume wake anapokuwa rais. Anapotembea kama mwanachama wa chama fulani na kuingia kwenye kampeni (hata kama ni kwa ajili ya mume wake) lazima kuwe na tofauti kama anaenda kama first lady au mwanachama. Ndo maana Kinana alisema kuwa anaenda kama mwanachama na anaenda kwa gharama za chama. Hoja ya ya "benefiti za first lady" (afadhali ungetumia neno privilege) zinaingia wapo?
Inatia moyo kuona kwamba watanzania wanaoipenda nchi yao kikweli na risk zao binafsi bado wapo big up Kubenea.Sawa Amoeba lakini ujue Tanzania haikuanza leo na CCM haikuwapo karne ya 20 ilipoanza hivyo basi itakuja kupotea tu iko siku kwa vitendo hivi wewe subiria utaona. Watanzania tumechoka sana mambo haya kila siku ufisadi wakati kuna wananchi wa kawaida wanakosa hata pesa ya kifungua kinywa....
Well said brother let wait for that day 31 of october this year.If we all plays our card well, changes in this country is just around the corner.
Sasa hivi ana-enjoy u-first lady akimaliza kipindi chake atagombea ubunge huko kwao. Hizi ni taarifa za kuaminika na kampeni alishaanza zamani.
Sina hakika sana kuhusu hili kwani walio kwenye level hiyo akiwepo mheshiwa wanachowafanyia wake za watu kwenye mchakato anakifahamu vizuri zaidi ya ku kikumbuka wakati utakapo fika. sidhani kama atatoa offer hiyo afteral kwa kuwa kuna kila dalili kwamba hatutamshitaki pamoja na makosa mengi aliyotufanyia kama nchi, hatakuwa na shida ya pesa ubunge wa nini? Na bungeni kwa nchi isiyo na maadili kama hii ya kwetu wanaokwenda kwa utumishi wa umma ni wachache sana wengi ni kupiga deal tu.
Wenye masikio na wasikie kauli hizi!Hapo ndipo huwa naona umaana wa uhandishi wa habari na si kubebabeba watu au kikundi fulani kwa maslahi binafsi,kwa hakika Mwanahalisi wanazidi kuwaonesha watanzania hali halisi ya viongozi katika taasisi za serikali wanavyotumika katika kufanikisha maslahi ya watu fulani.
Salma maskini hana cha kujibu kama ni mahakamani, anaye paswa kushitakiwa kwa kutumia madaraka ya umma vibaya ni huyo aliye muajiri kinana na kumfanya huyo mama aitwe first lady.Kinana ashtakiwe kwa kudanganya umma na kufoji risiti kwa madai ya kulipa serikali na Salma ashtakiwe kwa matumizi mabaya ya pesa za umma
Mkuu naona kama umetumia nguvu na muda mwingi sana kumjibu uliyekuwa unamjibu, hawa ni baadhi ya watu ambao wanaamini ukombozi wa kweli wa mtanzania hautapatikana. Hawana muda wa kusoma historia, alama za nyakati wala kujifunza kutoka kwa majirani zetu kama Kenya, Malawi, Zambia, South Afrika na karibuni zaidi Zimbabwe, Leave them alone they are going to see soon that our land is Blessed.First lady ni institution na kama mumewe anavyoitwa Rais ila swala ni kwamba mama salma ni raia kama mimi na wewe anatakikana kama anaenda katika safari binafsi heshima za ufirst lady zinawekwa pembeni yeye ni kama rais. Sasa kampeni za CCM ni safari za kiserikali???? Pili pesa za kampeni zimeainishwa na mchakato mzima NEC mbona na yeye hakujumuishwa katika hizo hesabu kama ni mgombea. Vilevile mapokezi ya mama salma ni kama amekuja safari ya kikazi jambo ambalo linadhihirisha ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Ndege serikali itakuwa imelipa (siamini anachokisema kinana), gharama za huko serikali imelipa. Matumizi mengineyo ya serikali za mitaa ni pesa za umma yote kwaajili ya nini kupiga kampeni. huh!!!
Huyu mama kama anataka uongozi si agombee tu.
Michelle Obama campaigned for Barack in 2008 elections!
Chelsea Clinton campaigned for Hillary in 2008
Cindy McCain campaigned for John McCain in 2008
Lucy Kibaki did the same, the list goes on and on.
Why not Salma???
Wewe ungelikuwa na ufahamu wa kila kitu usingekubali kuinamishwa na padri wako.