Elections 2010 Malipo ya Salma Kikwete yazua utata!

Elections 2010 Malipo ya Salma Kikwete yazua utata!

Mie nafikiri CCM wasingejibu maana all in all she still a first lady and she will be the first lady until another president swear in, so I think she still entitled all the first lady benefits. Changanya na zako

Wewe unazijua benefit za First Lady au unajisemea tu ili utoe mchango JF??
 
Mimi nilisema hapa siku moja, siku Kikwete akiondoka madarakani (kama ni mwaka huu au mwaka wowote kwa siku zijazo) na kisha uchunguzi huru wa matumizi ya fedha ukafanyika, watanzania watalia na kusaga meno.

Huyu bana na familia yake wanafilisi nchi na watu wanashangilia tu.
 
kwani mke waRAIS anitwa nani..?? Nataka kujua kwani nchi haina rais kwa sasa,....??!! sibishi nataka kujuwa tu.. ! sababu sifahamu kama kipindi hiki cha kampeni JK sio rais tena au ni mwananchi wa kawaida kama mimi ??!

mmmhh sina uhakika ila huwa nasikia wanasema mgombea urais kwa tkt ya chama ..... au wanataja jina tu .. hawasemi raisi .........
so kwa maana hiyo hata first lady haitakiwi kuitwa hivyo
 
Nashukuru kwa uchambuzi huu wa Kubenea. inabidi vyama vya ushindani vipinge kwa nguvu zote matumizi haya. Kwa wale wanaowataka Chadema wafungue kesi kwa kweli hii ni kuopgopa sisi wenyewe kuchukua hatua. Madhali ukweli umejulikana kwa nini wewe na mimi tusichukue hatua? Tusipende kuwataka wengine wachukue hatua kwa niaba yetu tusiwe kama msemo wa Kihaya usemao Kitandugaho yaani lisilote kwangu au kama tunakumbuka hadithi za darasa la pili ya "Sio Mimi". Tuna jukumu la kufanya mabadiliko katika nchi yetu bila kungojea wengine. Chadema na washindani wengine wako katika kampeni je sisi tunafanya nini? Kwa upande wangu nimefungua kesi dhidi ya mikataba yote ya madini, je wewe umechukua hatua gani Mtanzania mwenzangu?
 
Wewe unazijua benefiti za First Lady au unajisemea tu ili utoe mchango JF??
Usijifanye unajua. Hakuna asiyetambua kuwa kuna ni first lady lakini ukweli ni kuwa anachofanya si majukumu ya first lady. Yeye ni first lady wakati mume wake anapokuwa rais. Anapotembea kama mwanachama wa chama fulani na kuingia kwenye kampeni (hata kama ni kwa ajili ya mume wake) lazima kuwe na tofauti kama anaenda kama first lady au mwanachama. Ndo maana Kinana alisema kuwa anaenda kama mwanachama na anaenda kwa gharama za chama. Hoja ya ya "benefiti za first lady" (afadhali ungetumia neno privilege) zinaingia wapo?
 
mmmhh sina uhakika ila huwa nasikia wanasema mgombea urais kwa tkt ya chama ..... au wanataja jina tu .. hawasemi raisi .........
so kwa maana hiyo hata first lady haitakiwi kuitwa hivyo

Nadhani angeitwa Mgombea u_first lady
 
Kinana ashtakiwe kwa kudanganya umma na kufoji risiti kwa madai ya kulipa serikali na Salma ashtakiwe kwa matumizi mabaya ya pesa za umma

Mkuu nashkuru but naomba tujadili njia nyingine mi sina Imani na court za kibongo, Chenge,Mramba, N.K Wanakesi bt bado wanakula Bata mzinga mtaani,Liyumba kapra BILLION 200 ETI kafungwa miezi 24 we huoni court zimekuwa sehem ya kupumbaza walipa Kodi? Tangu Uhuru hakuna Fisadi alietiwa adabu na Cort
 
Asante Kwa Headline; Mwanahalisi online hawaiupdate Mara kwa Mara kama Mwananchi au IPP Media kwangu Mimi nimeacha kusoma IPP Media ni gazeti kibaraka la chama Tawala
 
Naambiwa na walioko mjini kuwa Mwanahalisi kwishnei mtaani!!! mbona ajabu!
Kwa wale ambao kwa sababu moja ama nyingine hawajafanikiwa kupata nakala mwanahalisi mpaka sasa wanaweza kupata habari muhimu ikiwemo ya First Lady Wao hapa chni:
Gazeti la MwanaHalisi

Kila mtu ajitahidi kupata nakala yake kwani lina mambo kweli kweli!!!!!!!!!!!!
 
jamani kama inawezekana kubenea na timu yake waambiwe ku update website timely. We can pay for this service (eg monthly subscription). Kuna maeneo ambayo hard copies hazifiki

nafikiri ni vyema uakaanza kusubscribe gazeti la mwanahalisi kwanza, jamani tukumbuke hiyo ni biashara licha ya kwamba anatimiza wajibu wao wa kuelimisha umma. Mafisadi wengi wangependa kuona mwanahalisi linafilisika. Hivyo tujitolee kununua copies za kutosha ili mwanahalisi iweze kudumu daima
 
Usijifanye unajua. Hakuna asiyetambua kuwa kuna ni first lady lakini ukweli ni kuwa anachofanya si majukumu ya first lady. Yeye ni first lady wakati mume wake anapokuwa rais. Anapotembea kama mwanachama wa chama fulani na kuingia kwenye kampeni (hata kama ni kwa ajili ya mume wake) lazima kuwe na tofauti kama anaenda kama first lady au mwanachama. Ndo maana Kinana alisema kuwa anaenda kama mwanachama na anaenda kwa gharama za chama. Hoja ya ya "benefiti za first lady" (afadhali ungetumia neno privilege) zinaingia wapo?

Inaelekea wewe ni Ridhwan, au una uhusiano wa karibu sana na hii familia la sivyo usingekuwa unatetea ufujaji wa mali za serikali!!!! Anyway, Time will tell...........................!!!! Halafu usichanganye mambo hapa, niliyemjibu alisema benefits za first lady sasa wewe unayekuja na hizo privelege za first lady si utuambie ni zipi?? Sasa kwa nini Kinana mpaka ame-forge recept kumtetea huyohuyo First Lady, if that was one of her privelege as you say??
 
Wanajiandalia tatizo la kustaafu nalo. Kama vile Ben alivyoandamwa na Kiwira na mazagamazaga mengine, JK naye anaanda kashfa ya familia kutumia vibaya mali za umma. Yangu macho tu, naduwaa
 
Nngu007, inabidi ukanunue magazeti uitake yote hapo, nao ni biashara wanafanya.
 
Headlines za mwanahalisi leo ni:
1.MALIPO YA SALMA UTATA
2.TAKUKURU MSHAURI WA CCM
3.KIKWETE, KURA NA WATUHUMIWA UFISADI
4.MSAJILI ASILALAMIKE TU, ACHUKUE HATUA
5.KINANA MWONGO AU MSAHAULIFU?
6.KWA MABANGO HAYA, HOFU AU JK HAJULKANI?
7.CCM YAWAKANA MA-RC,DC
8.PROF. KAHIGI:TEGEMEO LA BUKOMBE
9.NANI KATEUA MHUNI KAMPENI ZA CCM?
10.KAMA HAO HAWAWEZI, WENGINE WANAWEZA
11.MAKUNDI CCM YANATOKANA NA MASLAHI BINAFSI
12.SITTA ATAVUNA AIBU TUPU KWA DK SLAA
13.HATA CCM NI "CHAMA CHA MSIMU"
14.MUNGU AWAAMBIA WATANZANIA: MSIOGOPE
15.HILI LA DRC TUMEONYESHA NJIA
16.KIKWETE SASA UNAPOTEA NJIA
17.KAMPENI BILA JANJAWEED, BILA VITUKO
18.RAIS ABDOULAYE AHONGA DOLA LAKI MBILI
19.POULSEN ASHAURIWE, ASIPANGIWE TIMU

Wahi kanunue kopi yako leo
 
Sawa Amoeba lakini ujue Tanzania haikuanza leo na CCM haikuwapo karne ya 20 ilipoanza hivyo basi itakuja kupotea tu iko siku kwa vitendo hivi wewe subiria utaona. Watanzania tumechoka sana mambo haya kila siku ufisadi wakati kuna wananchi wa kawaida wanakosa hata pesa ya kifungua kinywa....
Inatia moyo kuona kwamba watanzania wanaoipenda nchi yao kikweli na risk zao binafsi bado wapo big up Kubenea.
If we all plays our card well, changes in this country is just around the corner.
Well said brother let wait for that day 31 of october this year.
Sasa hivi ana-enjoy u-first lady akimaliza kipindi chake atagombea ubunge huko kwao. Hizi ni taarifa za kuaminika na kampeni alishaanza zamani.
Sina hakika sana kuhusu hili kwani walio kwenye level hiyo akiwepo mheshiwa wanachowafanyia wake za watu kwenye mchakato anakifahamu vizuri zaidi ya ku kikumbuka wakati utakapo fika. sidhani kama atatoa offer hiyo afteral kwa kuwa kuna kila dalili kwamba hatutamshitaki pamoja na makosa mengi aliyotufanyia kama nchi, hatakuwa na shida ya pesa ubunge wa nini? Na bungeni kwa nchi isiyo na maadili kama hii ya kwetu wanaokwenda kwa utumishi wa umma ni wachache sana wengi ni kupiga deal tu.

Hapo ndipo huwa naona umaana wa uhandishi wa habari na si kubebabeba watu au kikundi fulani kwa maslahi binafsi,kwa hakika Mwanahalisi wanazidi kuwaonesha watanzania hali halisi ya viongozi katika taasisi za serikali wanavyotumika katika kufanikisha maslahi ya watu fulani.
Wenye masikio na wasikie kauli hizi!
Kinana ashtakiwe kwa kudanganya umma na kufoji risiti kwa madai ya kulipa serikali na Salma ashtakiwe kwa matumizi mabaya ya pesa za umma
Salma maskini hana cha kujibu kama ni mahakamani, anaye paswa kushitakiwa kwa kutumia madaraka ya umma vibaya ni huyo aliye muajiri kinana na kumfanya huyo mama aitwe first lady.
First lady ni institution na kama mumewe anavyoitwa Rais ila swala ni kwamba mama salma ni raia kama mimi na wewe anatakikana kama anaenda katika safari binafsi heshima za ufirst lady zinawekwa pembeni yeye ni kama rais. Sasa kampeni za CCM ni safari za kiserikali???? Pili pesa za kampeni zimeainishwa na mchakato mzima NEC mbona na yeye hakujumuishwa katika hizo hesabu kama ni mgombea. Vilevile mapokezi ya mama salma ni kama amekuja safari ya kikazi jambo ambalo linadhihirisha ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Ndege serikali itakuwa imelipa (siamini anachokisema kinana), gharama za huko serikali imelipa. Matumizi mengineyo ya serikali za mitaa ni pesa za umma yote kwaajili ya nini kupiga kampeni. huh!!!
Mkuu naona kama umetumia nguvu na muda mwingi sana kumjibu uliyekuwa unamjibu, hawa ni baadhi ya watu ambao wanaamini ukombozi wa kweli wa mtanzania hautapatikana. Hawana muda wa kusoma historia, alama za nyakati wala kujifunza kutoka kwa majirani zetu kama Kenya, Malawi, Zambia, South Afrika na karibuni zaidi Zimbabwe, Leave them alone they are going to see soon that our land is Blessed.
 
Tatizo la kuwa na mume taahira. Mume asingekuwa taahira asingeruhusu hali hii. Mambo mengine yanaayoonesha utaahira wa baba ni kutokuwa na kiasi.
Mama mjumbe Mkutano Mkuu CCM
Ridhiwani Mjumbe Kamati Utekelezaji Vijana.
Dogo mwingine Mwenyekiti Chipukizi (Taifa).

Baba mwenye busara na akili timamu asingeruhusu hali hii.
 
Huyu mama kama anataka uongozi si agombee tu.

Michelle Obama campaigned for Barack in 2008 elections!
Chelsea Clinton campaigned for Hillary in 2008
Cindy McCain campaigned for John McCain in 2008
Lucy Kibaki did the same, the list goes on and on.
Why not Salma???
 
Michelle Obama campaigned for Barack in 2008 elections!
Chelsea Clinton campaigned for Hillary in 2008
Cindy McCain campaigned for John McCain in 2008
Lucy Kibaki did the same, the list goes on and on.
Why not Salma???

You are totally lost in this one. No one complains about Salma campaigning for her husband or else any other wife,maids, kids of JK. The point is they shouldn't be using tax payers monies, your money, my money for political gains.

Well you have mentioned Michelle campaigning for Obama, but don't u remember as of her recent trip to Spain????????? She used her own money only that security and the plane was from tax payers $$$

Don't u remember what happened???????? And that is the US the richest country on Earth what about TZ?? DON'T WE HAVE THE RIGHTS TO TAKE ACTION WHEN SALMA IS MISUSING OUR MONEY???????
 
Wewe ungelikuwa na ufahamu wa kila kitu usingekubali kuinamishwa na padri wako.

Matusi ya nini kwani wewe una uhakika huyo baba ako ni wako kweli?mama ako ndo anajua nani baba ako...na kuinamishwa ni makubaliano hata wewe unaweza kuwa unainamishwa lakini ukweli unao wewe..Go Dr. Slaa..
 
Back
Top Bottom