A
33.3% ya mshahara wako mara miezi 6 kwa mkupuo.hivi special lumpsum huwa inakuaaje,maana nina kama 27m zangu ziko tu huko zimetulia?
kwa sasa unaweza kuchukua yote japo kuna vipengele kidogo vya kufuata, na pia kuna namna ya kuchukua yote ya kisheria kidogohivi special lumpsum huwa inakuaaje,maana nina kama 27m zangu ziko tu huko zimetulia?
Sijui una umri gani?Nimekuwa nikichangia fedha kwenye mfuko wa NSSF kwa zaidi ya miezi 88.
Baada ya kuwasilisha madai ya kupata special lumpsum baada ya mkataba wa kazi kumalizika, nilipewa jumla ya kiasi kilekile nilichokuwa nimechangia bila nyongeza yoyote.
Hali hii si sahihi. Je, mfuko hautumii fedha hizo kuwekeza na kuzalisha mapato?
Kutolipwa ongezeko lolote ni aina ya dhulma, kwani thamani ya shilingi 10,000 ya mwaka 2017/2018 si sawa na thamani ya shilingi 10,000 ya mwaka 2026 kutokana na mabadiliko ya gharama za maisha na thamani ya fedha.
Pole sana, mawazo yako ni sahihi lakini ndio maana mimi natumia medical benefits yao vyakutoshaNimekuwa nikichangia fedha kwenye mfuko wa NSSF kwa zaidi ya miezi 88.
Baada ya kuwasilisha madai ya kupata special lumpsum baada ya mkataba wa kazi kumalizika, nilipewa jumla ya kiasi kilekile nilichokuwa nimechangia bila nyongeza yoyote.
Hali hii si sahihi. Je, mfuko hautumii fedha hizo kuwekeza na kuzalisha mapato?
Kutolipwa ongezeko lolote ni aina ya dhulma, kwani thamani ya shilingi 10,000 ya mwaka 2017/2018 si sawa na thamani ya shilingi 10,000 ya mwaka 2026 kutokana na mabadiliko ya gharama za maisha na thamani ya fedha.
Hapana special lumpsum ni pesa zako zote zilizopo kwenye mfuko unazipata baada ya kusubiri siku 90 toka mkataba kuisha (unemployment benefit) kisha kufungua madai. Ukilipwa unalipwa pesa zako zote+ increment, haubakizi hata senti huko baada ya kulipwa33.3% ya mshahara wako mara miezi 6 kwa mkupuo.
Habari, sasa kuna mwenzetu alienda kufwatilia mafao yake haya ya "special lumpsum" alipambana hadi akafika stage ya kuweka alama za vidole. Hapo anasubiri tena takribani siku ngapi tena mpaka alipwe stahiki zake ?Hapana special lumpsum ni pesa zako zote zilizopo kwenye mfuko unazipata baada ya kusubiri siku 90 toka mkataba kuisha (unemployment benefit) kisha kufungua madai. Ukilipwa unalipwa pesa zako zote+ increment, haubakizi hata senti huko baada ya kulipwa
Mimi nilifungua madai nikaambiwa nitalipwa ndani ya siku thelathini, lakini ndani ya wiki tu nililipwaHabari, sasa kuna mwenzetu alienda kufwatilia mafao yake haya ya "special lumpsum" alipambana hadi akafika stage ya kuweka alama za vidole. Hapo anasubiri tena takribani siku ngapi tena mpaka alipwe stahiki zake
Mkoa gani?Mimi nilifungua madai nikaambiwa nitalipwa ndani ya siku thelathini, lakini ndani ya wiki tu nililipwa
KigamboniMkoa gani?
Duuh !. Cha kwanza ahsante kwa taarifa, pili hapa habari inabidi imfikie ili aende tena kwa ofisi zao kukumbushia zaidi. Maana yapata wiki 3 ahangaika na alalama kwamba kupitia nssf portal yake status haisogei hatua za mbele. Alafu na alianzia hapohapo kigamboni. …. Yani ni hoiMimi nilifungua madai nikaambiwa nitalipwa ndani ya siku thelathini, lakini ndani ya wiki tu nililipwa
Me kesi yangu ni kama ya huyo ndugu yako,sema me wameniambia nibadilshe badala ya kuomba ile unemployment benefits,,wamenishauri niombe special lumpsum nichukue mzigo wangu wote,,ndo nimeandika barua week hii ya kubadili aina ya fao hapo ubungo.Duuh !. Cha kwanza ahsante kwa taarifa, pili hapa habari inabidi imfikie ili aende tena kwa ofisi zao kukumbushia zaidi. Maana yapata wiki 3 ahangaika na alalama kwamba kupitia nssf portal yake status haisogei hatua za mbele. Alafu na alianzia hapohapo kigamboni. …. Yani ni hoi
Oh ok ! ... basi inaonekana ni mwendo wa kwenda ofisini mwao mara kwa mara na kutia pressure, huenda ikasaidia na kutoa matunda. Kila mtu huja na kesi yake na majibu yanakuwaga tofauti.Me kesi yangu ni kama ya huyo ndugu yako,sema me wameniambia nibadilshe badala ya kuomba ile unemployment benefits,,wamenishauri niombe special lumpsum nichukue mzigo wangu wote,,ndo nimeandika barua week hii ya kubadili aina ya fao hapo ubungo.
Umeishia stage gani?Wakuu Mimi tangu February nazunguka Ofisi za NSSF hadi leo. What's should I do? Niende na vilipuzi nikafe nao?
Membership verificationUmeishia stage gani?
Umeweka dole gumba?Membership verification