HOJA Malipo ya 'Special lumpsum' ya NSSF si ya haki

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
  • Tags Tags
    nssf
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
nasikia mtaani wanasema et kama mtu alisoma degree ni ngumu kupata yote ataanza na 33.3% kwa miezi 6.
mimi nilienda kufungua madai nikaambiwa nisubiri siku 90 alafu ndiyo niende kufungua madai, je nikienda fungua madai nitapewa pesa yangu yote au itakuwa ndiyo hiyo 33.3% na mimi nana uhitaji niipate pesa yote
background yangu nina bachelor, nnaomba maombi yenu wadau.
 
Mimi nina degree nimeweka fingerprint jana,nachukua pesa yangu yote 23m pale kibaha.
 
Hongereni, Sisi tulioacha kazi fedha zetu kuja kuzipata ni ndoto.
Pole mkuu.
Kama uliacha kazi mwenyewe huwezi kupata hilo fao.
Kama unaweza, pambana utafutw kazi yoyote ile hata kama mshahara utakua mdogo sana, cha muhimu tu wawe wanachangia NSSF. Halafu baada ya muda kidogo mfano miezi 6, unapiga tukio labda huendi kazini siku tano mfululizo, ili tu wakufukuze kazi wenyewe. Wakikufukuza tu, hiyo barua yao sasa ndo itakufanya upate mafao yako.
Mr.Junior
 
Pole mkuu.
Kama uliacha kazi mwenyewe huwezi kupata hilo fao.
Kama unaweza, pambana utafutw kazi yoyote ile hata kama mshahara utakua mdogo sana, cha muhimu tu wawe wanachangia NSSF. Halafu baada ya muda kidogo mfano miezi 6, unapiga tukio labda huendi kazini siku tani mfululizo, ili tu wakufukuze kazi wenyewe. Wakikufukuza tu, hiyo barua yao sasa ndo itakufanya upate mafao yako.
Mr.Junior
na ukipata kazi serikalini inabidi tusubiri hadi miaka 55-60.
 
Pole mkuu.
Kama uliacha kazi mwenyewe huwezi kupata hilo fao.
Kama unaweza, pambana utafutw kazi yoyote ile hata kama mshahara utakua mdogo sana, cha muhimu tu wawe wanachangia NSSF. Halafu baada ya muda kidogo mfano miezi 6, unapiga tukio labda huendi kazini siku tani mfululizo, ili tu wakufukuze kazi wenyewe. Wakikufukuza tu, hiyo barua yao sasa ndo itakufanya upate mafao yako.
Mr.Junior
Anaweza kuchangia yeye ninafsi miezi kadhaa halafu anaziomba wanampa
 
Kumbe hakuna nyongeza ,yaani interest?

Sheria inataka , "A single payout consisting of your accumulated contributions plus accrued interest"

Kwa mtu aliechangia miezi chini ya 60

Tupeni ushuhuda mliochukua mzigo wote
 
Nimekuwa nikichangia fedha kwenye mfuko wa NSSF kwa zaidi ya miezi 88.

Baada ya kuwasilisha madai ya kupata special lumpsum baada ya mkataba wa kazi kumalizika, nilipewa jumla ya kiasi kilekile nilichokuwa nimechangia bila nyongeza yoyote.

Hali hii si sahihi. Je, mfuko hautumii fedha hizo kuwekeza na kuzalisha mapato?

Kutolipwa ongezeko lolote ni aina ya dhulma, kwani thamani ya shilingi 10,000 ya mwaka 2017/2018 si sawa na thamani ya shilingi 10,000 ya mwaka 2026 kutokana na mabadiliko ya gharama za maisha na thamani ya fedha.
NSSF sio uwekezaji ni SOCIAL SECURITY.....Uwekezaji wake sio kwa ajili ya kutengenezea wanachama faida bali ni kuhakikisha mfuko unakuwa stable...
 
Special lumpsum inatakiwa iwe na accrued interest kama mwanachama kachangia miezi chini ya 60

Soma hii, nimechukua kwenye act
 
Attachments

  • Screenshot_20261102-181836.jpg
    Screenshot_20261102-181836.jpg
    227.5 KB · Views: 1
Special lumpsum inatakiwa iwe na accrued interest kama mwanachama kachangia miezi chini ya 60

Soma hii, nimechukua kwenye act
Umenielewa lkini?Hako ka interest ni vijisent tu ila kimsingi sio lengo la mfuko
 
Nimekuwa nikichangia fedha kwenye mfuko wa NSSF kwa zaidi ya miezi 88.

Baada ya kuwasilisha madai ya kupata special lumpsum baada ya mkataba wa kazi kumalizika, nilipewa jumla ya kiasi kilekile nilichokuwa nimechangia bila nyongeza yoyote.

Hali hii si sahihi. Je, mfuko hautumii fedha hizo kuwekeza na kuzalisha mapato?

Kutolipwa ongezeko lolote ni aina ya dhulma, kwani thamani ya shilingi 10,000 ya mwaka 2017/2018 si sawa na thamani ya shilingi 10,000 ya mwaka 2026 kutokana na mabadiliko ya gharama za maisha na thamani ya fedha.
Mimi nilikuwa na kama 5million iliongezeka kama laki 2 hivi
 
Umenielewa lkini?Hako ka interest ni vijisent tu ila kimsingi sio lengo la mfuko
Naelewa ni vijisenti na sio dhumuni la mfuko
nilikuwa napenda kujua interest mfano mtu ana mil 70 kama hapo juu hivi si kana effect kubwa

Interest wanayotumia ni ipi
 
Back
Top Bottom