T Tardy JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 1,287 Reaction score 1,607 Nov 19, 2021 #1 Miaka sitini ya Uhuru inaendana na malipo ya wabunge kila mwezi ukilinganisha na uhalisia wa majimbo? Kwanini kila kikao cha bunge ni hoja za maji maji.Hatuna mbinu mbadala maji kiwe kipaumbele?
Miaka sitini ya Uhuru inaendana na malipo ya wabunge kila mwezi ukilinganisha na uhalisia wa majimbo? Kwanini kila kikao cha bunge ni hoja za maji maji.Hatuna mbinu mbadala maji kiwe kipaumbele?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Nov 19, 2021 #2 Haya siyo malipo mbali ni kufuru
USSR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 10,904 Reaction score 26,184 Nov 19, 2021 #3 Babati said: Haya siyo malipo mbali ni kufuru Click to expand... Gombea na wewe usiwe mpiga zumari USSR
Babati said: Haya siyo malipo mbali ni kufuru Click to expand... Gombea na wewe usiwe mpiga zumari USSR