Malipo yalifanyika nje ya makubaliano, hivyo Pesa zimerudishwa

Malipo yalifanyika nje ya makubaliano, hivyo Pesa zimerudishwa

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Coastal Union zinaeleza kuwa fedha ambayo klabu ya Simba iliingiza kwenye ‘account’ ya Coast Union kwaajili ya biashara ya mchezaji wao, Lameck Lawi zimerudishwa mwenye ‘account’ ya Simba baada ya biashara hiyo kwenda tofauti na makubaliano ya pande zote mbili.

Moja kati ya watu wa ndani wa klabu ameeleza kuwa Simba walipewa tarehe ambayo walipaswa kufanya malipo ya shilingi milioni 205 ambazo ni fedha za usajili wa mchezaji huyo.

Inaelezwa kuwa siku moja kabla ya tarehe husika kufika Simba walipigiwa simu na kusema kuwa wataweka fedha hizo lakini tarehe ilifika na Simba ikawa haijafanya malipo, baada ya muda kupita Simba ilianza kufanya malipo kidogokidogo lakini Coastal waliandika barua ya kusitisha dili hilo kisha wakawarudisha Simba fedha zao zote walizowawekea.
 
Iweje waweke tena hela kidogo kidogo! Ndiyo kusema timu haina hela ya kununulia hata wachezaji tu wa kawaida kama hao!!
 
IMG_20240616_123822_301.jpg
 
Kama Mchezaji mmoja tu tena wa ndani makolo wameshindwa kumnunua hii ina maana timu ya mbumbumbu mpunga umekata na sasa iko level za ndondo cup sio big team tena, hapo ina maana, kiporo, kina wale wazee walioshuka kiwango siwataji kitapashwa na squad ya simba mdebwedo Itabaki ni ile ile ikitegemea kina Chasambi na Balua kukiwasha ila matokeo yatakuwa yale yale na maumivu na uchungu itakuwa ule ule wa kukandwa na kina Samson Mbangula, Ki Aziz , Mzize, Waziri Junior na wengine

Kweli simba inatia huruma ni jumba bovu linaanguka hivi hivi mbele ya macho yetu. Hata tukikutana Derby ya kkoo kila mtu anajua Yanga itaikanda Simba, kisichojulikana huwa ni idadi tu ya magoli!!

Muda wa usajili ni huu Simba sajilini sasa huko mbele hatutaki makelele na visingizio ooh Yanga inahonga marefa, ligi ikianza tukiwakanda tena my wetu mkae kwa kutulia dawa iwaingie!!aibu kubwa Lawi tu kawashinda wengine mtaweza au mtapasha viporo?

Ujumbe muhimu kwa Mangushi especially kwa Kocha Fikiri, chukueni wachezaji wanaoachwa Yanga hasa viungo watawasaidia sana shirikisho kuna hela kule kila hatua maana hawa wachezaji wana winning spirit , wamefundishwa na makocha bora na wameshacheza mechi za kimataifa , wamesafiri nje wana uzoefu mkubwa na wanajua kupigana kubeba makombe. Msijesema sikuwatonya mi Mangushi mwenzenu mjue!!

Simba Garbage in garbage out!!
 
Kama Mchezaji mmoja tu tena wa ndani makolo wameshindwa kumnunua hii ina maana timu mpunga umekata na sasa iko level za ndondo cup sio big team tena, hapo ina maana, kiporo, kina wale wazee walioshuka kiwango siwataji kitapashwa na squad ya simba mdebwedo Itabaki ni ile ile ikitegemea kina Chasambi na Balua kukiwasha ila matokeo yatakuwa yale yale na maumivu na uchungu itakuwa ule ule wa kukandwa na kina Samson Mbangula, Ki Aziz , Mzize, Waziri Junior na wengine

Kweli simba inatia huruma ni jumba bovu linaanguka hivi hivi mbele ya macho yetu. Hata tukikutana Derby ya kkoo kila mtu anajua Yanga itaikanda Simba, kisichojulikana huwa ni idadi tu ya magoli!!

Muda wa usajili ni huu Simba sajilini sasa huko mbele hatutaki makelele na visingizio ooh Yanga inahonga marefa, ligi ikianza tukiwakanda tena my wetu mkae kwa kutulia dawa iwaingie!!aibu kubwa Lawi tu kawashinda wengine mtaweza au mtapasha viporo?

Ujumbe muhimu kwa Mangushi especially kwa Kocha Fikiri, chukueni wachezaji wanaoachwa Yanga hasa viungo watawasaidia sana shirikisho maana hawa wachezaji wana winning spirit na wameshacheza mechi za kimataifa , wamesafiri nje wana uzoefu mkubwa. Msijesema sikuwatonya mi Mangushi mwenzenu mjue!!

Garbage in garbage out!!
Wazee walioshuka kiwango ndio hakina chama na mnawapigania kila kukicha kuwasajili.

Hao pakome na aziza ndio waliosababisha mkaingia madeni kwa kuwatapeli hakina okrah ,konkoni na kambole. Wamekomba pesa . Kwa kifupi wachezaji wengi mnawasajili kwa malikauli(utapeli)
 
Si Sultani Mangungo of Msovero alisema anaweza akatoa pesa yake kusajiri? Sasa kwanini huyo kenge asifanye hivyo?
 
Nyie utopolo mnaosema Simba inasajili kwa mafungu tuelezeni madeni mliyonayo yanatokana na Nini pia timu aliyotoka Okra mbona mpaka Sasa hamjamaliza pesa za usajili
 
Zamani mada hizi zilikuwa zinajadiliwa na watu wenye akili Ila Sasa hivi Kila mtu anaweza kuanzisha mada anavyojisikia na watu wakala na kujadili kitu wasicho na uhakika nacho.
 
Wazee walioshuka kiwango ndio hakina chama na mnawapigania kila kukicha kuwasajili.

Hao pakome na aziza ndio waliosababisha mkaingia madeni kwa kuwatapeli hakina okrah ,konkoni na kambole. Wamekomba pesa . Kwa kifupi wachezaji wengi mnawasajili kwa malikauli(utapeli)
Jaribuni malikauli tuone mafanikio yenu!
 
Nyie utopolo mnaosema Simba inasajili kwa mafungu tuelezeni madeni mliyonayo yanatokana na Nini pia timu aliyotoka Okra mbona mpaka Sasa hamjamaliza pesa za usajili
Haikuhusu! Sasa jadili usajili wa msimu ujao!
 
Wajifunze sheria za mikataba. Huwezi ku revoke mkataba ukishapokra part payments kisa Kuna mtu mwingine kama na dau kubwa zaidi
 
Wajifunze sheria za mikataba. Huwezi ku revoke mkataba ukishapokra part payments kisa Kuna mtu mwingine kama na dau kubwa zaidi
Coastal hawatakiwi kupata hata senti tano nimeelezea kwa kunukuu kifungu cha kanuni za mikataba.
 
Back
Top Bottom