Malisa akamatwa na Polisi, Namanga na kupelekwa kusikojulikana

Kuna wakati unajiuliza hawa wanaharakati wetu wanawaza nini!?,hii wiki yote tunajiuliza mtu mkubwa kama Nchimbi yupo wapi!?,bado bwana mdogo kama Malissa GJ anarudisha pua yake kutoka USA!??,hili nalo alihitaji kushauriwa!???... Wakati mwingine huwa nahisi matatizo watu wengine wanayatafuta wenyewe
 
Tuhameni Nchi wote sasa..kama ni hivyo.....
 
Haya maharamia yanayoteka watu, yanajiona yana akili sana, na yanaamini kuwa yanayafurahisha yale mashetani ya kutoka zenji. Yasichokijua ni kuwa siku moto utakapoyawakia yale mashetani ya zenji ,yatawalaani sana.
 
Inasikitisha sana ,wakimpoteza huyo nadhani TZ itakuwa imemtia Kidole cha Macho "TRAMPO" lazima ataruka na NYINYI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…