Idimulwa
Platinum Member
- May 27, 2011
- 6,351
- 5,556
Kusema ukweli=Kifo(Kwa CCM)Aiseee!
Sasa Malisa amefanya nini hata harakati hafanyi kihivyo, wala sio kiongozi, zaidi anafanya zile kampeni za kuwatafutia msaada.
Kusema ukweli=Kifo(Kwa CCM)Aiseee!
Sasa Malisa amefanya nini hata harakati hafanyi kihivyo, wala sio kiongozi, zaidi anafanya zile kampeni za kuwatafutia msaada.
Kutekwa ndiyo Suluhisho?!!Kwanini asipekekweUnatukana viongozi, kusambaza habari za uongo kwa kutegemea public sympath
Landa kama ulikuwa haufatirii post zake alikuwa anawapiga sipana Kali sana wakuu japo kuwa yeye alikuwa hatumii maneno makali kama wanaharakati wengine.Aiseee!
Sasa Malisa amefanya nini hata harakati hafanyi kihivyo, wala sio kiongozi, zaidi anafanya zile kampeni za kuwatafutia msaada.
Aiseee!Landa kama ulikuwa haufatirii post zake alikuwa anawapiga sipana Kali sana wakuu japo kuwa yeye alikuwa hatumii maneno makali kama wanaharakati wengine.
Kumuua sidhani Kwa sababu alikuwa mikononi mwao ila watambambika kesi nzito ili kumkomoa kama lisu.
Wanawapoteza watanganyika, na siyo watanzania. Kwao wazanzibari ni sawa, hawaguswi......Ni sisi tu watanganyikaDaah aisee kazi ipo kama kirahisi rahisi tu hivyo wanaanza kuwapoteza Watanzania ni mbaya sana..