Malisa GJ: Rais Samia anawakaanga MATAGA

Umemeliza kila kitu mkuu. Naona wafuasi wa mwendazake wanajitekenya na kucheka wenyewe 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Huu ni matazamo wake unachembe chembe za ukweli. Mataga hawatataka kukubali ila ndio hivyo era imepita.
 
Tatizo la Malisa ni kuona wachaga wakitawala tena sekta fulani, wlizosema wamezisomea sana. Walisema wamesoma sana, sasa ndo wameelewa siyo kusoma ni maamuzi tu ya ukabila. Acha aendelee kupiga kelele kwa matumaini.
Haya ndiyo Malisa amenadika kwenye andiko lake hili au hii post yako imekosea njia mkuu?
 
Huyu kijana anatumika kama dekio la mwenyekiti wa maisha, kijana anadeki kila takataka hata zisizitakiwa kufanya hivyo
Hivi kwanini mataga mnachukia sana;
uhuru wa vyombo vya habari
Usawa ktk nchi
Kutokuwepo kwa uonevu
haki sawa kwa wote
Uhuru wa mawazo
Ukikataa haya lazima kuna kitu hakipo sawa kichwani.
 
Sijaona ukabila kwenye post ya Malisa ila unamtazama mtoa post ukiwa inclined kwenye ukabila. Hatafuta uteuzi bro.
MATAGA siku zote wanakuwa na mawazo ya KISHETANI sijui wamerogwa!!!!
 
Hao waliohongwa ili waunge mkono juhudi wametoka chama gani Baada ya kuwakosa huko wakaamua kununua vichwa toka CDM.CDM itabaki kuwa ndiyo chimbuko la rasilimali watu ktk nchi hii.
 
Hao waliohongwa ili waunge mkono juhudi wametoka chama gani Baada ya kuwakosa huko wakaamua kununua vichwa toka CDM.CDM itabaki kuwa ndiyo chimbuko la rasilimali watu ktk nchi hii.
Mmmh! Kweli? Uliza hao wote kabla ya kujiunga na CDM walikuwa chana gani?
Jiulize pia, kuna wachaga wangapi waliunga mkono?
Kwa ukabila CDM hawafiki kokote!
 
Mmmh! Kweli? Uliza hao wote kabla ya kujiunga na CDM walikuwa chana gani?
Jiulize pia, kuna wachaga wangapi waliunga mkono?
Kwa ukabila CDM hawafiki kokote!
Mkuu mbona unajadili hoja nje ya key? Kwani wewe hili suala la ukabila unalitoa wapi mbona halimo kwenye hoja iliyopo mezani?
 
Mmmh! Kweli? Uliza hao wote kabla ya kujiunga na CDM walikuwa chana gani?
Jiulize pia, kuna wachaga wangapi waliunga mkono?
Kwa ukabila CDM hawafiki kokote!
Huyu nae sindano imemuingia, karne ya 21 bado anaongea ukabila, Silly!
 
Mkuu mbona unajadili hoja nje ya key? Kwani wewe hili suala la ukabila unalitoa wapi mbona halimo kwenye hoja iliyopo mezani?
Nilipoona mwandishi ni Malisa, nikajua hachezi mbali na tatizo la kuzaliwa nalo. Ukabila.
 
Nilipoona mwandishi ni Malisa, nikajua hachezi mbali na tatizo la kuzaliwa nalo. Ukabila.
Watu kama wewe ndio mnaotutafutia ban kwa nguvu. Dawa yenu ni kuwapuuza tu na kusonga mbele. Utadhani hili bando unalotumia kujibu utumbo wako huu umepewa bure. Huna huruma na bando lako mkuu?
 
Watu kama wewe ndio mnaotutafutia ban kwa nguvu. Dawa yenu ni kuwapuuza tu na kusonga mbele. Utadhani hili bando unalotumia kujibu utumbo wako huu umepewa bure. Huna huruma na bando lako mkuu?
Utumbo tena? Reasoning ni relative to the majority. Halafu kwa nini una contemplate kutukana badala ya kujadiliana na wana JF!
 
Hili ni andiko, murua tangu mwendazake asafili, safari ndefu, ambayo tutaonana naye siku ya kiama ,bahada ya Hotuba ya SSH RAIS , NILISEMA HAPA JF,
MH Rais yu kitu kimoja na mwenda zake ila sio sawasawa na mwenda zake KWA maana nyingine binadam wote ni sawa ila sio sawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…