Malisa GJ: Rais Samia anawakaanga MATAGA

Huyu Malisa ni nani nchi hii? Naona siyo mwana JF, ni jina sijawahi sikia kwamba labda ni mtu maarufu, ni nani kiasi hata u-forward ujumbe wake? Ni profesa wa chuo fulani uliposoma, labda? Au ni wewe mwenyewe ndo Malisa?

Kuna wakati ni aibu kutuletea maelezo marefu kiasi hiki toka kwa mtu ambaye hata hafahamiki dunia hii ya TZ.
 
Mkuu usihangaike sana na mleta hoja na mwenye hoja bali pambana na hoja yenyewe. Wazo haiipigwi rungu bali hujibiwa kwa wazo jingine lililo bora zaidi (JK, 2018). Jielekeze kwenye hoja; acha kujadili watu......jadili hoja mkuu.
 
shida inakuja mleta hoja anapoileta kama tamko.

leo hii nikisema watu wote wasiingine jf kesho maana kuna ukaguzi,utatii ama utaanza kuniuliza maswali???
 
shida inakuja mleta hoja anapoileta kama tamko.

leo hii nikisema watu wote wasiingine jf kesho maana kuna ukaguzi,utatii ama utaanza kuniuliza maswali???
Tamko? Ametoa amri gani mkuu?
 
Mimi sina tatizo kwasababu sijawai kuibiwa kura,sikuzote mimi ndo uwa naiba kura.shida ipo kwetu.
Sasa mbona hoja ya Malisa haiongelei wizi wa kura mkuu? Wewe hili suala la wizi umelisoma wapi?
 
Kwani nani anapinga mkuu au uCCM wake unahusianaje na misimamo yake imara juu ya ujenzi wa demokrasia na Tanzania mpya?
Huwezi kuwa Mwenyekiti wa CCM huku unapigania Demokrasia. NEVER. CCM haiwezi survive katika mazingira ya Demokrasia.
 
Kwa hy unahitaji kufuata mawazo ya mtu maarufu tu katika dunia hii?. Hii ina maanisha mawazo ya mamako na babako kuwezi kuyafuata maana si watu maarufu! Insanity!
 
Kwa hy unahitaji kufuata mawazo ya mtu maarufu tu katika dunia hii?. Hii ina maanisha mawazo ya mamako na babako kuwezi kuyafuata maana si watu maarufu! Insanity!
Avoid bringing rubbish from a rubbish person.
 
Mhe. Malisa,
Thread zako zinanichangamsha sana. Kuna wakti nacheka mwenyewe na wakti nasikitika sana kwa madudu aiyokuwa akiyafanya Hayati!!!
Kiukweli Mama SSH ameanza kunyorosha hawa mataga....yaani ANAPIGA SINDANO YA MOTO.....wakipiga kelele anatuliza kwa kupuliza....!!!
 
Kmmk nchi ya kiboya hii.

Kila mtu Mama, mama... Watanzania tupunguze njaa.
 
Kwakuww mtangulizi wake alivuruga awamu ya kwanza huyu alitakiwa kufanya mambo mawili tu.

Kuiacha nchi ikiwa na katiba bora [miaka 4 ni mingi sana kupata katiba]

Kuunda tume ya maridhiano ya kweli na waliomizwa au kuonea watu kila mtu apate haki yake kisha astaafu 2025 na kuacha nchi ikiingia katika uchaguzi huru na mshindi atangazwe bila uonevu.

Hii ingemuweka katika rekodi hata kama kungekuwa na madoa kiasi gani basi angesafishika walau kama Kibaki alivyojisafisha pale uhuru park August 27 , 2010 .

Hayo mawili ndio yalikuwa makubwa na yote kashindwa basi ataingia katika rekodi nyingine pengine hata kufungwa kifungo cha ndani au kupelekwa mahakama za kimataifa.

Muda utasema.
 
Hii inaonesha namna gani kwenye siasa tulivyo na watu wenye akili ndogo na wanaaminika sana na akili ndogo wenzao.

Huyu aliporomosha sifa za kila namna kwa wanaCCM leo kiko wapi.

Kuna wakati ni vizuri kuupa muda nafasi ili ujionee mambo kwa upana zaidi.

Vipi mataga wanateseka au namna gan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…