Malisa GJ: Umuhimu wa Katiba Mpya

Tatizo vijana wa chama Cha zamani kichwani hamna kitu
 
Ndiyo maana tunapendekeza kwamba katiba itupe mamlaka sisi wananchi ya kuwaadibisha wanasiasa(Wabunge) ambao hawatendi wanachokiongea.
Mkuu ukitizama kwa jicho la 3 utaona yafuatayo..
Mosi wamechungulia (wanasiasa udhaifu) madam President.. na kuona kuwa wanaweza wakachekecha ikapenya ajenda..

Pili hakuna ushahid huo popote duniani kuwa katiba inaweza kuleta maendeleo.. labda tutumie mifano mikubwa miwili.. taifa la marekan kabla halijaleta hi katiba ilewa ilijielekeza kuijenga Kwanza usa kwa wananchi wake kufanya kazi
Baada ya maendeleo haya unayoyaona wakaja na hyo katiba...

Sasa ukiona implementation ya sis tunataka katiba tukiwa hatujui kwa nn tunataka katiba mpya...

Mfano wa 2 ni China wao baada ya kujitawala wakaanza kufanya kazi na kuzaana Sana na kutumia lugha yao na traditional zao.. je unaona kilichopo China nw?? Ndo wakaweka sheria sasa( katiba)

Kwa hyo kwa mtazamo wa kijamaa tunahitaji institution strong kutoka kwenye jamii strong ambayo haipatikan kwa sabab ya katiba mpya ila Kwanza iliyopo ya kuheshim mamlaka na kuacha kuidharau...

Inabidi tuwe na kura ya maoni je tunahitaji katiba mpya au la kwa nchi nzima.. elim itolewe siyo kisiasa kwa kuangalia matakwa ya kijamii.. ili jamii iamue.. si tume ya kukusanya maoni..
 
Muda wangu wa kuchangia nimeutumia kujibu maswali matano yanayoulizwa na wengi huko mtaani kuhusu Katiba (5 common questions).

Hayo maswali kayatoa wapi?
 
Mkuu nafikiri kuna sehemu unachanganya hilo neno "MAENDELEO"

Maendeleo siyo lazima yawe ya vitu kama nyumba, magari, n.k Kumbuka kuna maendeleo ya kiuchumi, Kijamii, na kisiasa.

Kuwa na katiba ambayo inatoa kinga dhidi ya viongozi wenye choyo, wenye kutumia mali za umma vibaya, wenye kutumia madaraka vibaya hayo nayo ni maendeleo makubwa sana. Mfano mzuri ni Nchini Kenya ambapo kupitia katiba yao. Rais haongozi kwa matamko. Anachokifanya Rais kinapingwa mahakamani. Kitu ambacho ni tofauti hapa Tanzania.

Mfano kipindi cha ESCROW viongozi wote waliojihusisha na ubadhilifu ule wangeshitakiwa ila kwa sababu kuna kinga za hapa na pale hawakufanywa lolote.

Kadhalika, investors hawawezi kuwekeza katika Nchi ambayo inaongozwa kwa matamko badala ya kuongoza kwa kuheshimu Katiba na sheria zingine za Nchi. Je kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani ina wawekezaji wengi?

Tanzania tupo nyuma sana kimaendeleo katika nyanja ya kiuchumi, kijamii na kisiasa ukilinganisha na Nchi ya Kenya.

Huduma za Kijamii nchini Kenya wameendelea sana mfano mzuri ni msanii Ommy dimpozi ambaye alishindwa kugundulika anaumwa nini hapa nchini ila alipoenda Kenya aliambiwa tatizo lake.
 
Kimsing nakuelewa walao Sasa Kama ndvyo umhim wa katiba mpya uanzie wapi?? Wakati katba ile ambayo mchakato wake ulikwama na hakuna sabba ya kwa nn ulikwama nlikuwa nafanya kazi maeneo tofaut ya kijijn.. baadhi ya watu nliokutana nao hawakuwa na uelewa walao hata wa neno katiba wengine waliniuliza hv hulo bunge la katiba maana yake Nini??

Kwa hyo kunakazi Kwanza ya kuielimisha jamii ya Sasa katiba maana yake Nini.. mapungufu yaliyopo kwenye katiba ya Sasa na kwa nn tutake katiba nyingine..
Na je tunaiunda Kama copy&pest ya ambayo haikufikia muafaka au tunaitaka tuunde ya kwetu??

Mkuu hatuundi katiba kwa kuangalia wengine wameundaje ya kwao ila jambo la Msingi tujue hasa mahitaji ya jamii yetu ni yapi..

Umesema vyema MAENDELEO si kuangalia tu binafsi ila ya ujumla.. na hapo ndpo tunapokuja na vipaumbele... Ni vyema tujiridhishe Kama kwel jamii ya Sasa kwa takwim halisi tunahitaji katiba??
 
Muda wangu wa kuchangia nimeutumia kujibu maswali matano yanayoulizwa na wengi huko mtaani kuhusu Katiba (5 common questions).
Mtaani wapi kusiko na jina?
 
Reactions: BAK
uvcmm kwa sababu wanazozijua wao, wanapambana usiku na mchana kwa kutumia hoja dhaifu kutaka kukwamisha harakati za kudai katiba mpya.

kwa trend ya sasa sidhani kama watafanikiwa, zaidi wanazidi kuongeza umaarufu wa hii harakati.
 
Muda wa kuishi kusubr ihsan ya kiongoz umekwisha ni mwendawazimu tu asiejua umuhimu wa katiba,hakuna aliye tayar kupokwa madaraka na hyo ndyo khofu kubwa ya chama chakavu
 
Wanaodai katiba kwa nguvu sio wananchi ila ni CHADEMA idadi yao haifikii hata robo ya watanzania wote

Na hao CHADEMA wanadai hiyo katiba kwa tamaa yao ya madaraka wanahisi labda litakua daraja la wao kuingia madarakani na ndio maana wakuzungumzia katiba mpya wanalenga katika tume ya uchaguzi

In short ndio CHADEMA inakufa maana mtapoteza hi miaka 4 yote kudai katiba na hiyo katiba haitapatikana

R.I.P CHADEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said akirud nistue
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yule dhalimu magufuli alidhani ameiua Chadema lakini akaona moto wake kwenye kampeni hadi akaamua kutumia UPORAJI wa kura na mtutu wa bunduki ili kubaki madarakani kwa njia haramu. Huwezi kuuwa kilichomo mioyoni mwa Watanzania. Utasubiri sana kifo cha Chadema.


 
Kwanza, mkuu wananchi kutokuelewa katiba yao ni uthibitisho tosha kwamba maendeleo ya kijamii katika nchi yetu ni mabaya sana mkuu. Kutokuelewa katiba yao maana yake hiyo jamii ina tongotongo kubwa sana katika macho yao.

Pili, kutokujua katiba yao inasemaje siyo hoja kubwa sana kwani huo ni uzembe wao. Sasa suala la uzembe wao wa kutokufuatilia mambo mbalimbali kwa manufaa yao yasikwamishe mchakato wa katiba mpya.

Tatu, mkuu katiba mpya tunayoitaka ni ambayo itaakisi maisha halisi ya Watanzania na yenye kuleta tija katika jamii na siyo ya copy & paste.

NB: suala la wananchi kutokujua katiba yao ya sasa ni uzembe mkubwa sana na siyo sababu ya msingi ya kutuzuia kuwa na katiba mpya.
 
Acha kujidanganya ww,mataifa mengi ya ulaya magharibi yalipata maendeleo makubwa baada ya mabadiliko ya kisiasa sambamba na katiba bora.
Hiv kwann chama chakavu mnaiogopa katiba mpya????yaan bdo mnataka hii mbeleko iliyopo ktk hii katiba chakavu?????
 
Namba 3 nimeielewa sana ,sisi tunaohangaika ughaibuni kutafuta wawekeza hua wanauliza maswali muhimu hilo mojawapo ,hua tunaishia kusema tunautulivu na amani ,unaulizwa kuhusu utulivu na amani ukijib wanakwambia hakuna kitu

Pili idadi yawatu ndomana mpaka Leo tunamakanjanja wakujenga Barabara ndo wawekezaji..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…