Malisa: Serikali ituambie Bilioni 730 za El Nino ni kiasi gani kimetumika hadi sasa? na kimetumikaje?

Malisa: Serikali ituambie Bilioni 730 za El Nino ni kiasi gani kimetumika hadi sasa? na kimetumikaje?

Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Godlisten Elisante Malisa amehoji kuhusu Fedha ambazo Serikali ilisema imetenga kwa ajili ya Mvua za El Nino zimetukaje hadi sasa
​
"Naomba kuuliza kati ya Naomba kuuliza kati ya Bilioni 730 ambazo serikali ilisema imetenga kwa ajili ya kukabiliana na mvua za El-Nino, je ni kiasi gani kimetumika hadi sasa? Na kimetumikaje?"

Soma
Hadi muda huu zitakuwa zimetumika bilioni 700 hivi kwa ajili ya kufukua mitaro na makaravati kwenye maeneo kadhaa ya nchi. cocastic zingatia neno kufukua mitaro.
 
Mkuu Richer; Serikali inao utaratibu wa kufanya Ukaguzi wa Fedha na Taarifa ya ukaguzi huo huwakilishwa Bungeni i.e. kwa wawakilishi wa Wananchi(Wabunge). Je, Mbunge wako anasemaje?
Jibu mujaraab
 
Hiyo hela imeishia kwenye kusafisha mitaro mtaani.
 
Hadi muda huu zitakuwa zimetumika bilioni 700 hivi kwa ajili ya kufukua mitaro na makaravati kwenye maeneo kadhaa ya nchi. cocastic zingatia neno kufukua mitaro.
Nakuambiaje wewe soon unakua mwanachama, nakuona sana juhudi zako za kuunga mkono chama.
Maana sio kawaida kabisaa, wee haya tu.
 
Nakuambiaje wewe soon unakua mwanachama, nakuona sana juhudi zako za kuunga mkono chama.
Maana sio kawaida kabisaa, wee haya tu.
Subiri uone! Siku nikikabidhiwa kibiriti au kijinga cha moto nitawachoma pasipo kuwa na chembe ya huruma.
 
Back
Top Bottom