Maliwato ya master’s bedroom

Maliwato ya master’s bedroom

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1635633496543.png

Inapendeza kuwa na cubicle shower na bath tub lenye jacuzzi. Siku moja moja unatoa stress.
 
IMG_20211101_185216_2.jpg

Kwa sie tuliotoka Ikungu lya Bashashi matumizi ya haya madude mtihani....
Tumezoea kuoga mtoni au na ndoo sasa ukija kuleta mambo ya kujiloweka dah! Inachukua muda kuzoea.

Kwa wenye pesa zao sawa. Kwanza unatumia maji mengi...narudia tena, kwa wenye pesa zao haina shida.
 
View attachment 1995236

Maji ya mvua yanayopotelea baharini ni mengi sana. Yakikusanywa kwenye reservoirs na kuwa pumped majumbani tunaweza kuwa na maji ya kutosha kwa vyoo vya kuvuta na matumizi ya majumbani. Hili litaimarisha afya za watu.
 
Maji ya mvua yanayopotelea baharini ni mengi sans. Yakikusanywa kwenye reservoirs na kuwa pumped majumbani tunaweza kuwa na maji ya kutosha kwa vyoo vya kuvuta na matumizi ya majumbani. Hili litaimarisha afya za watu.

Uko sahihi, hizi ploti zetu za 15x15 ukiweka kakibanda kameshajaa, tanki la maji taka tu mtihani. Huo mfumo wa kuvuna maji ya mvua na kuyahifadhi si itakua habari nyingine Rafiki?

Ila hata mashuleni, hospital na kwenye majengo mbali mbali ya umma huu mfumo ungesaidia sana upatikanaji wa maji wakati wa mvua. Kuna shule ya wa missionary tulikua tunatumia maji ya mvua mwaka mzima.

Inapunguza mmomonyoko wa udongo kwa kuwa waji hayatiririki ardhini, yanahifadhiwa kwa matumizi yenye tija.

Niandalie chapati zangu ntapitia mapema sana.
 
Unajua hata barabara za lami zikiwekwa mifereji pembeni inayokwenda kwenye reservoirs zina uwezo wa kukusanya maji mengi sana siku ya mvua kubwa. Fikiria barabara ya Ubungo mpaka Kibaha, au Kibaha Chalinze ni kiasi gani cha maji yanapotea.
 
Hizo cubicle shower zinasumbua kwenye usafi, mapovu ya sabuni kusafisha baada ya muda kioo kinafubaa.

I prefer open shower rather than cubicle one.

Labda hilo jacuzzi naweza kubaliana nalo
 
Unasafisha kila siku asubuhi au kabla ya kulala, ukispray glass cleaner alama za sabuni zinaondoka. Kwakweli kioo kikifubaa haipendezi.
 
Back
Top Bottom