Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii picha mbona ya kuiba sana sky, tuwekee vizuriView attachment 1992750
Inapendeza kuwa na cubicle shower na bath tub lenye jacuzzi. Siku moja moja unatoa stress.
Kwahyo uzi tayarNia ya picha ilikua kuonyesha plan ya cubicle shower na jacuzzi, choo na sink la kunawia.
Maji ya mvua yanayopotelea baharini ni mengi sana. Yakikusanywa kwenye reservoirs na kuwa pumped majumbani tunaweza kuwa na maji ya kutosha kwa vyoo vya kuvuta na matumizi ya majumbani. Hili litaimarisha afya za watu.View attachment 1995236
Kwa sie tuliotoka Ikungu lya Bashashi matumizi ya haya madude mtihani....
Tumezoea kuoga mtoni au na ndoo sasa ukija kuleta mambo ya kujiloweka dah! Inachukua muda kuzoea.
Kwa wenye pesa zao sawa. Kwanza unatumia maji mengi...narudia tena, kwa wenye pesa zao haina shida.
Ufafanuzi pls hapo kwenye kutoa stress...View attachment 1992750
Inapendeza kuwa na cubicle shower na bath tub lenye jacuzzi. Siku moja moja unatoa stress.
Maji ya mvua yanayopotelea baharini ni mengi sans. Yakikusanywa kwenye reservoirs na kuwa pumped majumbani tunaweza kuwa na maji ya kutosha kwa vyoo vya kuvuta na matumizi ya majumbani. Hili litaimarisha afya za watu.
Unajua hata barabara za lami zikiwekwa mifereji pembeni inayokwenda kwenye reservoirs zina uwezo wa kukusanya maji mengi sana siku ya mvua kubwa. Fikiria barabara ya Ubungo mpaka Kibaha, au Kibaha Chalinze ni kiasi gani cha maji yanapotea.Uko sahihi, hizi ploti zetu za 15x15 ukiweka kakibanda kameshajaa, tanki la maji taka tu mtihani. Huo mfumo wa kuvuna maji ya mvua na kuyahifadhi si itakua habari nyingine Rafiki?
Ila hata mashuleni, hospital na kwenye majengo mbali mbali ya umma huu mfumo ungesaidia sana upatikanaji wa maji wakati wa mvua. Kuna shule ya wa missionary tulikua tunatumia maji ya mvua mwaka mzima.
Inapunguza mmomonyoko wa udongo kwa kuwa waji hayatiririki ardhini, yanahifadhiwa kwa matumizi yenye tija.
Niandalie chapati zangu ntapitia mapema sana.
Unasafisha kila siku asubuhi au kabla ya kulala, ukispray glass cleaner alama za sabuni zinaondoka. Kwakweli kioo kikifubaa haipendezi.Hizo cubicle shower zinasumbua kwenye usafi, mapovu ya sabuni kusafisha baada ya muda kioo kinafubaa.
I prefer open shower rather than cubicle one.
Labda hilo jacuzzi naweza kubaliana nalo
Hayo makabati ya pembeni ni ya nini mtutoe ushamba.View attachment 1992750
Inapendeza kuwa na cubicle shower na bath tub lenye jacuzzi. Siku moja moja unatoa stress.
Bao la humo huwa tamu hilo balaaaJacuzzi huwa lina pressure unaweza kui control kwa level unayotaka na ukilala ndani ni kama maji yanakufanyia massage .