The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,147
Lakini ngoja tuanze nyingineNa hadithi yetu imeishia hapa.
Karibuni kwenye game jipya.
Unatakiwa kumalizia hadithi kuanzia pale alipoishia wa juu yako kwa Maneno yasiyozidi matano
Mfano:
Mimi;Hapo zamani za kale...
Mwingine;Palikuwa na mfalme mmoja...
Mwingine;Aliyekuwa na mikono mitatu....
Tuendelee...
Na hadithi ya bangi imeishia hapa.Bangi mbaya sana,yaani unatumia m####u kufikiri
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na hadithi ya bangi imeishia hapa.