Malizia Hadithi....

Malizia Hadithi....

Karibuni kwenye game jipya.

Unatakiwa kumalizia hadithi kuanzia pale alipoishia wa juu yako kwa Maneno yasiyozidi matano

Mfano:

Mimi;Hapo zamani za kale...

Mwingine;Palikuwa na mfalme mmoja...

Mwingine;Aliyekuwa na mikono mitatu....


Tuendelee...

Tokea Dawa za Kulevya zipigwe marufuku na zidhibitiwe vilivyo naona sasa hivi matumizi ya Bange / Bangi yamekuwa ni ya ' Kutukuka ' kabisa nchini Tanzania.
 
Bangi mbaya sana,yaani unatumia m####u kufikiri
 
Back
Top Bottom