Malizia hii sentesi upendavyo ukianza "....

Malizia hii sentesi upendavyo ukianza "....

Mapenzi ni kupiga kampeni, ukibahatika kuchaguliwa unaongoza kwa mhula husika, muda wako ukiisha using'ang'anie kama rais wa gambia tupishe wenzako nasi tuongoze japo mhula mmoja.
 
Back
Top Bottom