Malkia Cleopatra

Mbona wanasema aligongwa na Nyoka
Huo ni uongo mzee
Waafrika tunabakwa sana...Hamjui cleopatra alikuwa mweusi kama Lami?
Aliyekudanganya kuaalikua mweusi ni nani?? Hevu niulize nikupe stor nzima ilikuaje hadi akawa Mtawala wa misri japo hakua mmisri.
Ask...
Ni kweli kiasi gani? Alisoma hisabati gani? Isijekuwa aliishia hasi na chanya
Sio kweli akua ana Akili sana. Misri aliyeijenga kua hivo ilivyo ni Imhotep, je wamfahamu huyu mtu na alifanya nini??
Tisha sana mkuu[emoji109][emoji109][emoji109]
Much obliged Sir. Salute ✌️
 
Hata nyerere/Kikwete siku za mbeleni hukooo wataitwa wazungu nyie subiri tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…