Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Huo ni uongo mzeeMbona wanasema aligongwa na Nyoka
Aliyekudanganya kuaalikua mweusi ni nani?? Hevu niulize nikupe stor nzima ilikuaje hadi akawa Mtawala wa misri japo hakua mmisri.Waafrika tunabakwa sana...Hamjui cleopatra alikuwa mweusi kama Lami?
Ask...
Sio kweli akua ana Akili sana. Misri aliyeijenga kua hivo ilivyo ni Imhotep, je wamfahamu huyu mtu na alifanya nini??Ni kweli kiasi gani? Alisoma hisabati gani? Isijekuwa aliishia hasi na chanya
Much obliged Sir. Salute ✌️Tisha sana mkuu[emoji109][emoji109][emoji109]