Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Plato...Kwa waliosahau nawakumbusha kuwa Mwingereza alikuwa msimamizi wa Tanganyika.
Ndiyo maana utaona akina Nyerere wakiandika barua ya kirafiki kwa Malkia. Hapa nafikiria eti Dedan Kimathi amwandikie Malkia barua ya kumpongeza au Samora amwandikie Rais wa Ureno barua ya kumpongeza!
Kinyungu,Zamani viongozi wa Tanganyika walikuwa wanajua sana English. Siyo kama hawa kina Mwigulu na Ndalichako
Muda unao.Kinyungu,
Katika hizi Nyaraza za Sykes nilikuta mambo mengi sana.
Laiti kama ningelipewa fursa ya kuzipitia upya nadhani ningeweza kuandika kitabu kingine.
Kinyungu,Muda unao.
Naomba uganye hivyo kuanzia leo kwa faida ya vizazi vilivyopo na vijavyo
Miaka 70 mbona bado upo rika moja na jk jitahidi kufanya mazoezi na kaz ndogondogo.Kinyungu,
Nimechoka kaka miaka 70 si mchezo.
Hiyo remote ya TV mpaka wajukuu zangu waniwashie.
Mkuu 70 parefu ila unaweza mkuuKinyungu,
Nimechoka kaka miaka 70 si mchezo.
Hiyo remote ya TV mpaka wajukuu zangu waniwashie.
Movie ya jumongYour majesty, zipo nyingi kwenye hii barua
Zamani viongozi wa Tanganyika walikuwa wanajua sana English. Siyo kama hawa kina Mwigulu na Ndalichako.