Malkia Elizabeth (1926 - 2022) Katika Nyaraka za Sykes

Malkia Elizabeth (1926 - 2022) Katika Nyaraka za Sykes

Mzee Mo Ahsante kwa hili.
Kweli ulikuwa wakati tofauti, wakujikomba!
Sasa CCM waandike barua kwenda kwa KC the 3rd, na wamuombe kwa unyenyekevu kama barua hiyo juu, kwamba sasa inatosha kutawaliwa. Kwamba tunaouwezo wa kuendesha Nchi(Sovereign) na vilevile Atuondoe kutoka katika Jumuiya au COMMONWEALTH kwani ni muendelezo wa Ukoloni.

Mzee wafikishie ombi.

Aluta Continua.
 
Back
Top Bottom