Malkia Elizabeth II wa Uingereza ana train yake.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1629391664540.png

Malkia ana train yake, inakuwa na mabehewa mpaka tisa kutokana na umuhimu wa safari yake na idadi ya wasafiri. Train hii humuwezeshs yeye pamoja na familia yake hata wageni wake kusafiri kwa amani bila usumbufu.

1629391863186.png
Hili ni behewa la chakula, wanawekewa chakula wakiwa safarini yeye na wageni wake.
 
huu ufalme wa kifala sn yaani kodi za wananchi zinawanufaisha maisha yao yote wanafamilia ya kifalme iki hali hawafanyi kazi wakati huo huo kuna watu hawana ajira,huduma mbovu za hospitali n.k na wanalipishwa kodi wapuuzi wa kifalme wanaponda kodi
 
Huwa nafikiria Sana,inaweza ikatikea siku utawala wa kifalme uingereza ukafika mwisho?
 
Takwimu zinaonesha uwepo wa familia ya kifalme unaingizia Serikali ya Uingereza mapato mengi kupitia utalii kuliko gharama za serikali inayotumia kuwatunza...Achana na Status Symbol,Na Mambo ya Jumuiya ya Madola..
Pengine ndio maana mpaka leo hata hakuna vuguvugu zito la kutaka "Royal family" isiwepo..
 
Huwa nafikiria Sana,inaweza ikatikea siku utawala wa kifalme uingereza ukafika mwisho?
wakikomaa itafika mwisho lkn wakiendelea kunung'unikia moyoni watateseka sn...wenzao wafaransa walifanyaga kweli dhidi ya huo ufala
 
huu ufalme wa kifala sn yaani kodi za wananchi zinawanufaisha maisha yao yote wanafamilia ya kifalme iki hali hawafanyi kazi wakati huo huo kuna watu hawana ajira,huduma mbovu za hospitali n.k na wanalipishwa kodi wapuuzi wa kifalme wanaponda kodi
Kwanza hoja ya kukosekana ajira si kweli ila wazawa wanachagua kazi, ndiyo maana wageni wengi wanaweza kupata kazi Uingereza. Huduma za jamii ni nzuri na zinaboreshwa kila siku.
 
Ukizaliwa kwenye familia ya kifalme utarithi neema za ufalme, ukizaliwa kwenye familia ya kitajiri utarithi utajiri na ukizaliwa kwenye familia ya kimasikini utarithi umasikini ambapo itakulazimu kutumia mbinu, akili, maarifa au nguvu kutoka kwenye huo umasikini.
 
Kwanza hoja ya kukosekana ajira si kweli ila wazawa wanachagua kazi, ndiyo maana wageni wengi wanaweza kupata kazi Uingereza. Huduma za jamii ni nzuri na zinaboreshwa kila siku.
kwani wewe unaweza kufanya kazi ya house girl...kama ilivyo ngumu kwako hata wazawa pia inakuwa ngumu ...hizo kazi unazozizungumzia wao hiyo stage walishairuka kitambo ndio maana wanazikataa hizo ndizo wenzangu na mimi from Africa tunazozigombania huko
 
View attachment 1898587
Malkia ana train yake, inakuwa na mabehewa mpaka tisa kutokana na umuhimu wa safari yake na idadi ya wasafiri. Train hii humuwezeshs yeye pamoja na familia yake hata wageni wake kusafiri kwa amani bila usumbufu.

View attachment 1898598Hili ni behewa la chakula, wanawekewa chakula wakiwa safarini yeye na wageni wake.
Huyu ameishi kwa raha maisha yake yote hapa duniani
 
Back
Top Bottom