Malkia Elizabeth II wa Uingereza ana train yake.

View attachment 1898587
Malkia ana train yake, inakuwa na mabehewa mpaka tisa kutokana na umuhimu wa safari yake na idadi ya wasafiri. Train hii humuwezeshs yeye pamoja na familia yake hata wageni wake kusafiri kwa amani bila usumbufu.

View attachment 1898598Hili ni behewa la chakula, wanawekewa chakula wakiwa safarini yeye na wageni wake.
Unaongelea huyu mwizi na mkoloni namba moja. Waingereza huifanya wajuzi lakin hapa waliingia choo ya kike.
 
Kibibi kinakata tu miaka wakati kuna mwamba anausikilizia mchongo wa kuitaka hiyo nafasi
DNA yao hao hawafi maema
Mama yake huyo bwanyenye alitwaliwa akiwa na 115yrs
Mwamba anazidi kuzeeka kwa kuwaza ufalme,na kwa umri wake na anavyoutamani ufalme,hata akiupata leo,atakaa nao muda mfupi sana kabla ya dogo kupewa kiti
 
huu ufalme wa kifala sn yaani kodi za wananchi zinawanufaisha maisha yao yote wanafamilia ya kifalme iki hali hawafanyi kazi wakati huo huo kuna watu hawana ajira,huduma mbovu za hospitali n.k na wanalipishwa kodi wapuuzi wa kifalme wanaponda kodi

Acha kuumia na nchi za watu, wenyewe wameridhika. Waingereza hawana njaa
 
huu ufalme wa kifala sn yaani kodi za wananchi zinawanufaisha maisha yao yote wanafamilia ya kifalme iki hali hawafanyi kazi wakati huo huo kuna watu hawana ajira,huduma mbovu za hospitali n.k na wanalipishwa kodi wapuuzi wa kifalme wanaponda kodi
Kazi wanafanya
Ila ni kama PR (public relations)
Mfumo wao unaleta amani kwasababu
Wana siasa hata wagombanie vipi mamlaka kiti cha juu ya nchi hawakikalii

wao ndio waweka amani wa nchi hakuna aliye juu yao na hawana lawama
Inawezekana siku hizi ikaonekana wanalishwa bure ila enzi mfumo wao umeanzishwa ilikuwa ni genius idea ya kufanya nchi yao iwe stable kisiasa
Ndio maana hata wakawa taifa imara
 
huu ufalme wa kifala sn yaani kodi za wananchi zinawanufaisha maisha yao yote wanafamilia ya kifalme iki hali hawafanyi kazi wakati huo huo kuna watu hawana ajira,huduma mbovu za hospitali n.k na wanalipishwa kodi wapuuzi wa kifalme wanaponda kodi
Unaijua England na UK Kwa ujumla au unasikia kwenye siasa zako uchwara za Africa
 
huu ufalme wa kifala sn yaani kodi za wananchi zinawanufaisha maisha yao yote wanafamilia ya kifalme iki hali hawafanyi kazi wakati huo huo kuna watu hawana ajira,huduma mbovu za hospitali n.k na wanalipishwa kodi wapuuzi wa kifalme wanaponda kodi
Unadhania wanaishi kwa kutegemea kodi za wananchi pekee? Hizo huduma.mbovu za hospital unazungumzia za huku bongo ama huko kwakao? Ajira ni swala la kidunia ujerumani tu ndio iliwai kuwa na 0% ya wasio na ajira enzi za hizo
 
View attachment 1898587
Malkia ana train yake, inakuwa na mabehewa mpaka tisa kutokana na umuhimu wa safari yake na idadi ya wasafiri. Train hii humuwezeshs yeye pamoja na familia yake hata wageni wake kusafiri kwa amani bila usumbufu.

View attachment 1898598Hili ni behewa la chakula, wanawekewa chakula wakiwa safarini yeye na wageni wake.
Utawala wa kifalme wa Uk ni utawala wa kidekteta tu km ilivyo nchi nyingine
 
Kiaje labda? Kumbuka ufalme upo kivyake na shughuri za kiserikal nazo pia zina wasimamizi wake wanaochaguliwa na wananchi sio malkia
 
wewe unadhani pesa matumizi ya ufalme nani anayetoa?!!!...ukielewa hapo ndipo utaona udikteta ulipo
 
Unadhania wanaishi kwa kutegemea kodi za wananchi pekee? Hizo huduma.mbovu za hospital unazungumzia za huku bongo ama huko kwakao? Ajira ni swala la kidunia ujerumani tu ndio iliwai kuwa na 0% ya wasio na ajira enzi za hizo
unadhani wangeokoa pesa kiasi gani ambazo zingeweza kutumika kufanya project ngapi kutokana na huo upuuzi wa kifalme...katika rank za dunia za uchumi leo uingereza ni ya ngp kutoka kuwa workshop of the world
 
huu ufalme wa kifala sn yaani kodi za wananchi zinawanufaisha maisha yao yote wanafamilia ya kifalme iki hali hawafanyi kazi wakati huo huo kuna watu hawana ajira,huduma mbovu za hospitali n.k na wanalipishwa kodi wapuuzi wa kifalme wanaponda kodi
Una Hakika kuwa hawafanyi kazi?
 
Back
Top Bottom