Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Unaongelea huyu mwizi na mkoloni namba moja. Waingereza huifanya wajuzi lakin hapa waliingia choo ya kike.View attachment 1898587
Malkia ana train yake, inakuwa na mabehewa mpaka tisa kutokana na umuhimu wa safari yake na idadi ya wasafiri. Train hii humuwezeshs yeye pamoja na familia yake hata wageni wake kusafiri kwa amani bila usumbufu.
View attachment 1898598Hili ni behewa la chakula, wanawekewa chakula wakiwa safarini yeye na wageni wake.
Kwa sababu hakuna, ni hadithi za kubuni tu.Kwa nini??
DNA yao hao hawafi maemaKibibi kinakata tu miaka wakati kuna mwamba anausikilizia mchongo wa kuitaka hiyo nafasi
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]Kibibi kinakata tu miaka wakati kuna mwamba anausikilizia mchongo wa kuitaka hiyo nafasi
huu ufalme wa kifala sn yaani kodi za wananchi zinawanufaisha maisha yao yote wanafamilia ya kifalme iki hali hawafanyi kazi wakati huo huo kuna watu hawana ajira,huduma mbovu za hospitali n.k na wanalipishwa kodi wapuuzi wa kifalme wanaponda kodi
Ni tunawamalizia hao matajiri O2 yao.Tunamaliza O2
Huyo anayesubiri mchongo keshazeeka [emoji2][emoji2]Kibibi kinakata tu miaka wakati kuna mwamba anausikilizia mchongo wa kuitaka hiyo nafasi
Kazi wanafanyahuu ufalme wa kifala sn yaani kodi za wananchi zinawanufaisha maisha yao yote wanafamilia ya kifalme iki hali hawafanyi kazi wakati huo huo kuna watu hawana ajira,huduma mbovu za hospitali n.k na wanalipishwa kodi wapuuzi wa kifalme wanaponda kodi
Unaijua England na UK Kwa ujumla au unasikia kwenye siasa zako uchwara za Africahuu ufalme wa kifala sn yaani kodi za wananchi zinawanufaisha maisha yao yote wanafamilia ya kifalme iki hali hawafanyi kazi wakati huo huo kuna watu hawana ajira,huduma mbovu za hospitali n.k na wanalipishwa kodi wapuuzi wa kifalme wanaponda kodi
Unadhania wanaishi kwa kutegemea kodi za wananchi pekee? Hizo huduma.mbovu za hospital unazungumzia za huku bongo ama huko kwakao? Ajira ni swala la kidunia ujerumani tu ndio iliwai kuwa na 0% ya wasio na ajira enzi za hizohuu ufalme wa kifala sn yaani kodi za wananchi zinawanufaisha maisha yao yote wanafamilia ya kifalme iki hali hawafanyi kazi wakati huo huo kuna watu hawana ajira,huduma mbovu za hospitali n.k na wanalipishwa kodi wapuuzi wa kifalme wanaponda kodi
Utawala wa kifalme wa Uk ni utawala wa kidekteta tu km ilivyo nchi nyingineView attachment 1898587
Malkia ana train yake, inakuwa na mabehewa mpaka tisa kutokana na umuhimu wa safari yake na idadi ya wasafiri. Train hii humuwezeshs yeye pamoja na familia yake hata wageni wake kusafiri kwa amani bila usumbufu.
View attachment 1898598Hili ni behewa la chakula, wanawekewa chakula wakiwa safarini yeye na wageni wake.
Kiaje labda? Kumbuka ufalme upo kivyake na shughuri za kiserikal nazo pia zina wasimamizi wake wanaochaguliwa na wananchi sio malkiaUtawala wa kifalme wa Uk ni utawala wa kidekteta tu km ilivyo nchi nyingine
hujui unalojua kajambe ulaleAcha kuumia na nchi za watu, wenyewe wameridhika. Waingereza hawana njaa
wewe unadhani pesa matumizi ya ufalme nani anayetoa?!!!...ukielewa hapo ndipo utaona udikteta ulipoKiaje labda? Kumbuka ufalme upo kivyake na shughuri za kiserikal nazo pia zina wasimamizi wake wanaochaguliwa na wananchi sio malkia
unadhani wangeokoa pesa kiasi gani ambazo zingeweza kutumika kufanya project ngapi kutokana na huo upuuzi wa kifalme...katika rank za dunia za uchumi leo uingereza ni ya ngp kutoka kuwa workshop of the worldUnadhania wanaishi kwa kutegemea kodi za wananchi pekee? Hizo huduma.mbovu za hospital unazungumzia za huku bongo ama huko kwakao? Ajira ni swala la kidunia ujerumani tu ndio iliwai kuwa na 0% ya wasio na ajira enzi za hizo
Una Hakika kuwa hawafanyi kazi?huu ufalme wa kifala sn yaani kodi za wananchi zinawanufaisha maisha yao yote wanafamilia ya kifalme iki hali hawafanyi kazi wakati huo huo kuna watu hawana ajira,huduma mbovu za hospitali n.k na wanalipishwa kodi wapuuzi wa kifalme wanaponda kodi
Ngoja nifike home dear...[emoji8][emoji8]