Malkia Elizabeth II wa Uingereza atimiza umri wa miaka 95

Malkia Elizabeth II wa Uingereza atimiza umri wa miaka 95

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Tarehe kama ya leo alizaliwa Malikia Elizabeth II ambaye ni Mkuu wa Ufalme wa Uingereza

Hongera sana kwake kwa kutimiza umri wa miaka 95

Elizabeth.jpg
 
Kwa umri huo, naona Operation London Bridge ikienda kutekelezwa siku si nyingi.

Anyway, happy born day Queen Elizabeth II.
 
Inashangaza...!

Halafu hachoki akili, bado ana akili timamu na kumbukumbu.

Hata Prince Philip pia hakupoteza kumbukumbu sijui wanawahandle vipi hawa wazee?
 
Back
Top Bottom