Malkia wa Madagascar kutoka kabila la Sakalava

Malkia wa Madagascar kutoka kabila la Sakalava

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Hawa ndiyo watu asili wa Madagascar kabla ya ujio wa Wakoloni. Wareno na Goa walioana na wenyeji kabla ya utawala wa Kifaransa.

1634374477747.png
 
Nzuri Asante sana mkuu sky eclat
Halafu Hilo kabila la Sakalava enzi Hizo ndio walikua wanakula nyama za watu a.k.a maccanibal
Hao jamaa waliwahi vamia wenyeji wa mafia na kusababisha vita kubwa iliyisambalatisha Dola la hapo!
 
Back
Top Bottom