Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Oct 16, 2021 #1 Hawa ndiyo watu asili wa Madagascar kabla ya ujio wa Wakoloni. Wareno na Goa walioana na wenyeji kabla ya utawala wa Kifaransa.
Hawa ndiyo watu asili wa Madagascar kabla ya ujio wa Wakoloni. Wareno na Goa walioana na wenyeji kabla ya utawala wa Kifaransa.
Dumas the terrible JF-Expert Member Joined Jan 20, 2021 Posts 4,779 Reaction score 9,999 Oct 16, 2021 #2 Nzuri Asante sana mkuu sky eclat Halafu Hilo kabila la Sakalava enzi Hizo ndio walikua wanakula nyama za watu a.k.a maccanibal Hao jamaa waliwahi vamia wenyeji wa mafia na kusababisha vita kubwa iliyisambalatisha Dola la hapo!
Nzuri Asante sana mkuu sky eclat Halafu Hilo kabila la Sakalava enzi Hizo ndio walikua wanakula nyama za watu a.k.a maccanibal Hao jamaa waliwahi vamia wenyeji wa mafia na kusababisha vita kubwa iliyisambalatisha Dola la hapo!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 16, 2021 #3 Ahsante kwa kutujuza,,,