J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Apr 16, 2018 Thread starter #21 serio said: Wenye mkoa wao.. . hahaha Click to expand... Dsm ni mkoa wa wote!
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,956 Reaction score 5,149 Apr 16, 2018 #22 Na huu ndio ujinga wa wazawa kila sehemu. Wageni wanakuja wanachungulia fursa wanapiga hela wanatawala mizawa inabakia wametukuta mjini, mjini my foot. Uliza wazawa wa Kariakoo wako wapi sasa kama sio Mabwepande??
Na huu ndio ujinga wa wazawa kila sehemu. Wageni wanakuja wanachungulia fursa wanapiga hela wanatawala mizawa inabakia wametukuta mjini, mjini my foot. Uliza wazawa wa Kariakoo wako wapi sasa kama sio Mabwepande??