Malkia wa nguvu: Khadija Kopa asema "Wakuja wametukuta mjini "

Malkia wa nguvu: Khadija Kopa asema "Wakuja wametukuta mjini "

Na huu ndio ujinga wa wazawa kila sehemu. Wageni wanakuja wanachungulia fursa wanapiga hela wanatawala mizawa inabakia wametukuta mjini, mjini my foot. Uliza wazawa wa Kariakoo wako wapi sasa kama sio Mabwepande??
 
Back
Top Bottom