TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

Kesho my ...ntaripoti live kutoka London ( Buckingham palace)

Ila nimeumia sana asee[emoji26][emoji848]
Kesho si ndiyo leo Witty...
Hebu tupeleke Live aiseee...

Hapo Buckingham Palace hali iko vipi?
Hivi Meghan ameweza kufika?
 
Poleeeee! kila mwenye huruma lazima aumizwe na kifo cha mtu, mpaka nikajikuta naomba Mungu amfikishe mama yangu umri huo.
RIP BIBI.
Niwakilishe kutoa polee.

N.B Unakumbuka one time nilichokutumaga hapo palace? Umekuwa mzembe unastahili viboko[emoji4] ona sasa bibi kashasepa mambo yatabalika, hiyo connection kisha[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hahaha nacheka kama mazuri
Ila usijali King lazima nimuone maana yeye anajichanganya na watu hata msikitini ntamuona haha

Mungu awape umri na afya njema wote tulionao karibu
Na mimi ombi langu hilo na wewe siku moja nikupokee hapa Sema Amina

Leo nilikuwa Manchester nimepita sehemu inaitwa Solihull yaani maduka yamefungwa wameweka bendera na picha za Bibi daa

Ila nimeisharudi London na kesho ntaenda kutoa pole ila hamna picha najua watauliza haha

Wewe subiri nakuombea njia
 
[emoji26]we acha tu hapa nalia...bibi yangu kadanja asee[emoji848][emoji848]

Black Sniper atatupa update usijali
Aisee najua watu Wana reactions tofauti hapa na huko pia
Wengine wanalia na wengine wanafurahi ila watu wengi wanahuzunika

King ameishaondoka Scotland anakuja na ataonana na PM saa 11.30 jioni na 12 atahutubia

God save the King

Hata wimbo wa Taifa umebadilika daaa
Dunia hii ukifa hata viatu vyako vina thamani

Jumapili mwili wake utaletwa London

Na baada ya wiki atazikwa Westminster Abbey kama waliomtangulia
 
Harry si ndiyo alikuwa Mjukuu wa Bibi kipenzi....

Sasa anaanza kuyaishi maisha bila yeye...
Baba yake mwenyewe ndiyo huyo saa mbovu....Akili ameshikiwa na Camilla..
Waingereza wana midomo khaa[emoji849][emoji849] washaanza kumuwashia moto Meghan ...

Wanasema drama zake ndo zimefanya Eliza kudanja[emoji1787][emoji1787]
 
Waingereza wana midomo khaa[emoji849][emoji849] washaanza kumuwashia moto Meghan ...

Wanasema drama zake ndo zimefanya Eliza kudanja[emoji1787][emoji1787]
Jamani Bibi alikuwa amemmiss Philip kwani amekaa nae miaka mingi sana

Ni kawaida mpendwa wako akiondoka wengi huwa wanakufa mda mfupi baada yao

Bibi alianza kuugua ugua baada ya Prince Philip kufa
 
Yaani Gari la Queen ndio limembeba Mfalme leo
Nakumbuka nikiliona najua Queen huyo ila sasa mambo tofauti

William ataitwa cheo cha baba yake Prince of Wales
 
Jamani Bibi alikuwa amemmiss Philip kwani amekaa nae miaka mingi sana

Ni kawaida mpendwa wako akiondoka wengi huwa wanakufa mda mfupi baada yao

Bibi alianza kuugua ugua baada ya Prince Philip kufa
Yeah ni kweli...be4 that bibi alikuwa na shavu dodo...ukifiwa na mke au mme hii ni hali ya kawaida kabisa kukumba
 
Aisee najua watu Wana reactions tofauti hapa na huko pia
Wengine wanalia na wengine wanafurahi ila watu wengi wanahuzunika

King ameishaondoka Scotland anakuja na ataonana na PM saa 11.30 jioni na 12 atahutubia

God save the King

Hata wimbo wa Taifa umebadilika daaa
Dunia hii ukifa hata viatu vyako vina thamani

Jumapili mwili wake utaletwa London

Na baada ya wiki atazikwa Westminster Abbey kama waliomtangulia
Westminster ndo alipozikwa baba ake na mama ake eeh?

Diana alizikwa Althop?
 
Kesho si ndiyo leo Witty...
Hebu tupeleke Live aiseee...

Hapo Buckingham Palace hali iko vipi?
Hivi Meghan ameweza kufika?
Harry kaja London Buckingham palace katokea huko Balmoral castle bibi alikofia, nasikia kaja na Meghan madrama, ila kapigwa pini asijihusishe na huu msiba, coz yy na bibi zilikuwa haziivi.....

Waingereza utafikiri hawanaga kazi yaan wamejazana hapo getini wengine niliona wanatandika magodoro na mashuka wanalala nje ya geti ( geti limefungwa[emoji14])
 
Mzee bila Picha tutajua una-report kwa kutazama TV ukiwa BUZA kwa Mpalange..
Sasa nitawakimbiza nyuma?
Niko home nimetoka safari Manchester
Huko juu mbona nimeandika?
saa hizi naangalia TV tu
Unataka picha ya wapi sasa mtaa wangu ama
 
1662736907645.png
 
Waingereza wana midomo khaa[emoji849][emoji849] washaanza kumuwashia moto Meghan ...

Wanasema drama zake ndo zimefanya Eliza kudanja[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Meghan kibarua anacho....
Shida Waingereza wanapenda madrama.
 
Back
Top Bottom