Kesho si ndiyo leo Witty...Kesho my ...ntaripoti live kutoka London ( Buckingham palace)
Ila nimeumia sana asee[emoji26][emoji848]
Naaaaaam!!!!King Charles wa Tatu
Mzee yuko poa sana na ninamkubali
Leo anakuja kutawazwa Ufalme London
Hahaha nacheka kama mazuriPoleeeee! kila mwenye huruma lazima aumizwe na kifo cha mtu, mpaka nikajikuta naomba Mungu amfikishe mama yangu umri huo.
RIP BIBI.
Niwakilishe kutoa polee.
N.B Unakumbuka one time nilichokutumaga hapo palace? Umekuwa mzembe unastahili viboko[emoji4] ona sasa bibi kashasepa mambo yatabalika, hiyo connection kisha[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Aisee najua watu Wana reactions tofauti hapa na huko pia[emoji26]we acha tu hapa nalia...bibi yangu kadanja asee[emoji848][emoji848]
Black Sniper atatupa update usijali
Waingereza wana midomo khaa[emoji849][emoji849] washaanza kumuwashia moto Meghan ...Harry si ndiyo alikuwa Mjukuu wa Bibi kipenzi....
Sasa anaanza kuyaishi maisha bila yeye...
Baba yake mwenyewe ndiyo huyo saa mbovu....Akili ameshikiwa na Camilla..
Charles katua Northolt RAFNaaaaaam!!!!
Kazi nzuri Black Sniper[emoji2]
Jamani Bibi alikuwa amemmiss Philip kwani amekaa nae miaka mingi sanaWaingereza wana midomo khaa[emoji849][emoji849] washaanza kumuwashia moto Meghan ...
Wanasema drama zake ndo zimefanya Eliza kudanja[emoji1787][emoji1787]
Yeah ni kweli...be4 that bibi alikuwa na shavu dodo...ukifiwa na mke au mme hii ni hali ya kawaida kabisa kukumbaJamani Bibi alikuwa amemmiss Philip kwani amekaa nae miaka mingi sana
Ni kawaida mpendwa wako akiondoka wengi huwa wanakufa mda mfupi baada yao
Bibi alianza kuugua ugua baada ya Prince Philip kufa
Mzee bila Picha tutajua una-report kwa kutazama TV ukiwa BUZA kwa Mpalange..Yaani Gari la Queen ndio limembeba Mfalme leo
Nakumbuka nikiliona najua Queen huyo ila sasa mambo tofauti
William ataitwa cheo cha baba yake Prince of Wales
Westminster ndo alipozikwa baba ake na mama ake eeh?Aisee najua watu Wana reactions tofauti hapa na huko pia
Wengine wanalia na wengine wanafurahi ila watu wengi wanahuzunika
King ameishaondoka Scotland anakuja na ataonana na PM saa 11.30 jioni na 12 atahutubia
God save the King
Hata wimbo wa Taifa umebadilika daaa
Dunia hii ukifa hata viatu vyako vina thamani
Jumapili mwili wake utaletwa London
Na baada ya wiki atazikwa Westminster Abbey kama waliomtangulia
Nenda bana upate matukio liiiive...tv unafiki mtupu[emoji38][emoji38]Charles katua Northolt RAF
Airport aliyoletwa Diana toka France alipofia wakati ule
Niko jirani sana sijui niende
Haahaa
Harry kaja London Buckingham palace katokea huko Balmoral castle bibi alikofia, nasikia kaja na Meghan madrama, ila kapigwa pini asijihusishe na huu msiba, coz yy na bibi zilikuwa haziivi.....Kesho si ndiyo leo Witty...
Hebu tupeleke Live aiseee...
Hapo Buckingham Palace hali iko vipi?
Hivi Meghan ameweza kufika?
Sasa nitawakimbiza nyuma?Mzee bila Picha tutajua una-report kwa kutazama TV ukiwa BUZA kwa Mpalange..
Hahaha umeona walivyojazana Buckingham Palace wengine wamelala hukoNenda bana update matukio liiiive...tv unafiki mtupu[emoji38][emoji38]
Baba yake King George alizikwa WindsorWestminster ndo alipozikwa baba ake na mama ake eeh?
Diana alizikwa Althop?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waingereza wana midomo khaa[emoji849][emoji849] washaanza kumuwashia moto Meghan ...
Wanasema drama zake ndo zimefanya Eliza kudanja[emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Charles katua Northolt RAF
Airport aliyoletwa Diana toka France alipofia wakati ule
Niko jirani sana sijui niende