Malori 25 ya Mahindi yazuiliwa kuingia Kenya

... tuleteeni tuyale kama zile korosho! Serikali iyagawe mashuleni huko.
 
Sioni la ajabu hata kidogo:

1) Kama barakoa kutoka nje zina virusi vya korona basi ni marufuku kuingia Bongo!

2) Mahindi yetu yasipofaa kwa matumizi ya chakula cha binadam ni marufuku pia kuyauza kwa ndugu zetu majirani!
 
Pande zote hujiona makomandoo tena makomandoo ya kipens
 
...midomo ya wanasiasa ndo imetufikisha hapo majigambo ya kishamba kwenye mambo ya msingi kama haya haitakiwi....kwa zuio hili tunapaswa kujitathimini mienendo yetu na majirani zetu tunaumiza wafanya biashara wetu
Na Uganda nayenywe unataka kusemaje?
 
According to a letter by the acting Director-General of the Agriculture and Food Authority, Kello Harsama to Pamela Ahago, the Commissioner of Customs in the Kenya Revenue Authority, the imports should stop after a survey conducted indicated maize from the two countries is not fit for human consumption.

Sasa kama mahindi haya hayafai kwa matumizi ya binadamu, kwa nini sisi tunaedelea kula?

Naomba ufafanuzi tafadhali
 
viongozi wa kitaifa wanaweza kufanya mazungumzo hata kupitia "zoom meeting" na kusawazisha mambo kama haya. Sijui hata wanafeli
Wanegotiate kuwaua raia indirectly
 
Tangu lini Serikali ya Tanzania imekuwa na huruma na raia wake??

Nilihacha kuwaamini tangu walipokula rambi rambi uko arusha, walipokula michango ya tetrmeko uko kagera, walipovunja makazi halali uko kimara,

sasa wadhani hii taharifa ya mahindi kuwa na sumu kubainikia kenya wadhan Tanzania hawajui au wahisi wameanza kulichunguza hilo.

Endelea kuwaamini ccm walinde maslai yako.
 
Mbona mlivyo choma vigaranga vyao hamkuwaomba radhi?
 
Mlivyo choma vigaranga vyao mliwapigia simu kufanya nao mazungumzo?

Wacha matukio yaendelee kuchukua nafasi yao.
 
Mbona mlivyo choma vigaranga vyao hamkuwaomba radhi?
Tulichoma vifaranga vya kuku vilivyoingia bila kubali, hata wao kama watakamata mahindi hayana kibali na kuyachoma sisi hatuna shida maana mkulima ameshalipwa
Na msafilishaji alitakiwa afate sheria za kusafirisha.
 
Tulichoma vifaranga vya kuku vilivyoingia bila kubali, hata wao kama watakamata mahindi hayana kibali na kuyachoma sisi hatuna shida maana mkulima ameshalipwa
Na msafilishaji alitakiwa afate sheria za kusafirisha.
Mbona mnahangaika sana?kwani soko lipo kwao tu?
Nyie ni matajiri yanunueni hayo mahindi ili muwapatie wanyama /mifugo tu.
 
Hawa wakenya watakuja kufa na njaa kwa jeuri zao.. maana chakula chenyewe hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…