Unashabikia tabia za kichawi kumuonea jirani yako wivu na kusingizia vitu ambavyo havipo kwa kuwa anakuzidi uwezo?
Mi nadhani kwa kiwango cha uelewa wako kutakuwa na mmoja kama sio wote wazazi wako ni wachawi
Kenya kama walikuwa haeataki mahindi yetu wangesema kwa uwazi bila kuongeza uongo wa sumu, na hakuna mtu angewalazimisha.