Asante jamii forums nimepata tajiri kutoka mbeya amekuja kununua malori mawili cash asilimia 100. aisee bila msaada wa mtandao, hii biashara ningeona ngumu mno.
inabidi niwasiliane na uongozi wa jamii forums nianze kuwalipa wanitangazie matangazo yangu ya biashara.
sasa nitafute namba zao za simu.