BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Za mwaka gani hizo mkuu? Na bei zake zikoje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
za mwaka 2017 mkuu. bei ni million 162. hio ni bei imepigwa pamoja na vat, ushuru na usajili wa kadi. gari unachukua kwenye bondi yetu. punguzo tunaongea. hata cif price tunauza, kama una vat exemption.Za mwaka gani hizo mkuu? Na bei zake zikoje?
hi ni mpya mkuu. mashine ya 2017.Hii Howo ni bei gani mkuu? Ni used au mpya?
Malori ya kuzoa taka nakushauri chukua Howo bosi ndio mazuri kwasababu engine ni za diesel halafu bei sio kubwa sana. malori ya mitsubishi mengi yana horse power ndogo na bei ni kubwa.mkuu malori ya kuzoa taka ya Mitsubishi ni shiling ngapi? Na Howo bei ni shiling ngapi?