Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Tumepoteza jirani na mzazi alietegemewa na watoto wake asubuhi kisa break za haya malori ya kubebea cement kufeli.
Mh RTO niwapongeze kwa zoezi zuri la kukagua mabasi ya shule wengine leo watoto wanabebwa na no ....E...Shule nyingi zimenunua mabasi mapya baada ya zoezi.
Tunakuomba watu tukaao huku wazo hatuna amani kabisa yanapohitajika haya magari... Na mengi hutembea kwa kasi kama yanaenda Moshi.
Tunaomba mkakague hata kama watatakiwa kulipia ukaguzi walipie zile gari zingine fiat hazina hata namba na zingine mbele kioo cheupe hazina kabisa kabisa bima.
Maombi yangu kwa Mungu mtafwatilia tusisubiri yauee tena.
Mwisho tunaomba mkague magari yote ya breakdown haya nayo ni hatarishi sana hasa dereva gari lake kinachobebwa hata kama halijaumia anachokutana nacho ni inaumiza sana
#mbarikiweee sanaa