Malori ya cement wazo yakaguliwe yote kama school bus.. Tutaishaaa

Malori ya cement wazo yakaguliwe yote kama school bus.. Tutaishaaa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Tumepoteza jirani na mzazi alietegemewa na watoto wake asubuhi kisa break za haya malori ya kubebea cement kufeli.

Mh RTO niwapongeze kwa zoezi zuri la kukagua mabasi ya shule wengine leo watoto wanabebwa na no ....E...Shule nyingi zimenunua mabasi mapya baada ya zoezi.

Tunakuomba watu tukaao huku wazo hatuna amani kabisa yanapohitajika haya magari... Na mengi hutembea kwa kasi kama yanaenda Moshi.

Tunaomba mkakague hata kama watatakiwa kulipia ukaguzi walipie zile gari zingine fiat hazina hata namba na zingine mbele kioo cheupe hazina kabisa kabisa bima.

Maombi yangu kwa Mungu mtafwatilia tusisubiri yauee tena.

Mwisho tunaomba mkague magari yote ya breakdown haya nayo ni hatarishi sana hasa dereva gari lake kinachobebwa hata kama halijaumia anachokutana nacho ni inaumiza sana

#mbarikiweee sanaa
 
Loh
 
Attachments

  • FB_IMG_16682903796890728.jpg
    FB_IMG_16682903796890728.jpg
    60.2 KB · Views: 7
Sana unaaga watoto mkapambane ...... Unaarudi maiti

Tumwombe mume alikuwa hoi mola aziidi kumpigania atunze yule malaika

Ujumla wapendwa hali imebadilika mkiamka msalii mkirudi salama msali sana sana

Mkisafiri msali sanasana

Rip Jiran doh

Mwakajana waliahairisha ajali zikaanza
Jan mpaka march
this time wamerudi nov-dec
MUWE makini na safari zisizo na tija

CC wachaga
 
Kweli G
Ila Umeona wanafunzi walivyokufa ikapitishwa chk up kila basi leo HIIi shule nyingi zina mabasi mapya
Walikuwa wananunua na basi yaliotekelezwa garage Wanapakaa rangi.. ♌ hamna
So HII pia kama Mungu anatuambia.

NAIROBI
Haya magari ya breakdown unaona hapa yamechoka kule ukiona gari zao unaomba godoro ulale ndani yalivyo mazuri...nje super..
naamini Rto wetu atasaidia haya.....
Dunia ndo ilivyo
Mungu ni Mwema. .
 
Mwaka huu serikali iliweka zuio ya liongiza gari chini ya mwaka 2013. Kenya wana zuio siku nyingi ila bongo Kuna gari nyingi za tangu 80s na 90s na zinafanya kazi mpaka Leo ila ni maghari mabovu.
Hapo sijajua kama gari likileta ajali he kiwanda kitawajibika kusomesha familia?
 
Takwa la kuingiza nchini Tanzania magari yenye umri wa chini ya miaka 9 sio jipya lipo kitambo tu zaidi ya miaka 10 nyuma, wala hakuna zuio la kuagiza magari ya zamani (chakavu) yenye zaidi ya miaka 10 isipokuwa kuna tozo ya uchakavu kwa kuagiza gari chakavu. Hakuna ZUIO, kilichotangazwa na Waziri Mkuu mwaka jana ilikuwa ni kumbusho tu kuwa sheria inatakaje ila sio zuio.
 
Cha traffic masaa 24 wako hapo wazo kusimamisha magari,bajaji daily

Ova
 
Cha traffic masaa 24 wako hapo wazo kusimamisha magari,bajaji daily

Ova
MPWAAA YAAN WALE NILISHAPATA SISIMAMI WASHANIPIGA MKONO MARA 2 NAANGALIA HAWANA PIKPIK NAUNGA...WANAUMIZA SANA

YALE MAGARI MKIPITA PALE WAZO NA KWA MBELE UNAWEZA HISI WANAUZA VYUMA CHAKAVU KUMBE N GARI ZINASUBIRI MZIGO WA TAN 10 PLUS AISEE
 
Tumepoteza jirani na mzazi alietegemewa na watoto wake asubuhi kisa break za haya malori ya kubebea cement kufeli.

Mh RTO niwapongeze kwa zoezi zuri la kukagua mabasi ya shule wengine leo watoto wanabebwa na no ....E...Shule nyingi zimenunua mabasi mapya baada ya zoezi...

Tunakuomba watu tukaao huku wazo hatuna amani kabisa yanapohitajika haya magari... Na mengi hutembea kwa kasi kama yanaenda Moshi.....

Tunaomba mkakague hata kama watatakiwa kulipia ukaguzi walipie zile gari zingine fiat hazina hata namba na zingine mbele kioo cheupe hazina kabisa kabisa bima......

Maombi yangu kwa Mungu mtafwatilia tusisubiri yauee tena........

Mwisho tunaomba mkague magari yote ya breakdown haya nayo ni hatarishi sana hasa dereva gari lake kinachobebwa hata kama halijaumia anachokutana nacho ni inaumiza sana

#mbarikiweee sanaa
Wanatakiwa wakaguliwe kuanzia:. 1.Lesen zao .2.Uimara wa gari.3.Na pia ningeshauri ,wawe wanafanya kazi kuanzia saa sita za usiku mpaka saa kumi na moja ili kulinda maisha ya watanzania.Unakuta container limefungwa hovyo hovyo juu ya Lori.Na linapitishwa katika ya roho za watu waliopo kwenye magari.Hii siyo sawa kabisa.Hata Kama Wana pesa ,kwann waendelee kuwa na malori mabovu yasio na break.Makontena yasiyofungwa.?Tulimpoteza Profesa wa Mzumbe kwa ajili ya uzembe huu.Malori mabovu yasiyo na break kuvamia magari mengine sio mara ya kwanza kwenye hii barabara ya Tegeta.Watu wengi wameshauawa na haya malori.
 
Back
Top Bottom