Malumbano kati ya Msanii Alikiba na Meneja wake (Seven Mosha) juu ya mwenendo wa Alikiba hasa utoaji wa nyimbo yatapelekea Seven kufukuzwa?

Malumbano kati ya Msanii Alikiba na Meneja wake (Seven Mosha) juu ya mwenendo wa Alikiba hasa utoaji wa nyimbo yatapelekea Seven kufukuzwa?

Kila mtu ana maisha yake na ni muhimu kutambua....ila i once said " Kinachomuangusha huyu bwana ni uswahili uswahili huku akidhani ndio soko linavyotaka" !

Kanuni ya masoko inasema "zalisha kwa ajili ya soko, usizalishe kwa ajili yako"
 
Seven kapewa majukumu Mengine ya kibiashara na si mziki tena
 
Back
Top Bottom