zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kwani CHADEMA haina ofisi? Yale ni majengo yake toka 2012 na Mnyika alipoingia tu akaongeza na jengo la jirani kuwa eneo la ofisi pia!! Mind you kanda karibu zote zina fully-functioning offices.Mkuu usipaniki siasa n kupambana tu kwa hoja anakera lakn anakiamsha chama chetu kiache kuoanga n chama cha zaman TLP CUF tulianza nao lakn wanamajengo yao sisi tunakwma wap? Tumeshindwa wakt wa ruzuku tutaweza wakat huu mkuu
Viva chadema
Asante mkuuKwani CHADEMA haina ofisi? Yale ni majengo yake toka 2012 na Mnyika alipoingia tu akaongeza na jengo la jirani kuwa eneo la ofisi pia!! Mind you kanda karibu zote zina fully-functioning offices.
Hawa vijana wa Lumumba wamekaririshwa tu! Kila kitu. Suala la ofisi lilijibiwa mpka na kina Makene & Dr.Slaa humu humu jukwaani!!Asante mkuu
Wamepanga wapi CHADEMA?Mkuu usipaniki siasa n kupambana tu kwa hoja anakera lakn anakiamsha chama chetu kiache kuoanga n chama cha zaman TLP CUF tulianza nao lakn wanamajengo yao sisi tunakwma wap? Tumeshindwa wakt wa ruzuku tutaweza wakat huu mkuu
Viva chadema
He! Wewe unayefaulu mitihani ya kujipendekeza unasemaje? Halijavunjwa?Hao wachangiaji nao vilaza na ndio maana wanafeli Sana mitihani. Ni Nani aliwambia jiji la dar limevunjwa?? WaTZ Wana vichwa vizito sana
Tuko jijiniBuguruni kwa mnyamani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Bavicha mwenzio huyo!Kwani ilala hakuna bahari ua hindi mkuu
Sasa kuanzia stesheni hadi salender bridge unaona ni padogo sheikh!kipande cha feri sheikh??
Jiji la Dar limevunjwa sasa hivi kuna jiji la Ilala na mkoa wa Dar es salaam.Hao wachangiaji nao vilaza na ndio maana wanafeli Sana mitihani. Ni Nani aliwambia jiji la dar limevunjwa?? WaTZ Wana vichwa vizito sana
Unatumana wakuu,ukuwasikia unaishi wapi?Hao wachangiaji nao vilaza na ndio maana wanafeli Sana mitihani. Ni Nani aliwambia jiji la dar limevunjwa?? WaTZ Wana vichwa vizito sana
Tena ndo katikati ya jiji ujuehayo ndio maeneo mapya ya jiji jipya la Ilala
Atakae uvunja itabidi tumuulize unavunja na kuupa mkoa hadhi ya jiji kwa utaratibu hupi?Huu uamuzi naamini awamu ijayo utatupiliwa mbali.
Na wewe pia ni kilaza zaidi yao ni wapi wamesema Jiji la Dar limevunjwa 8Hao wachangiaji nao vilaza na ndio maana wanafeli Sana mitihani. Ni Nani aliwambia jiji la dar limevunjwa?? WaTZ Wana vichwa vizito sana
Wameiacha osterbay sabab IPO vzr wanaipromot bugurun kwa mnyaman ili nayo ifikie hadh ya osterbayAkizungumza kwa kujiamini mmoja wa wachangiaji amepinga kuvunjwa kwa jiji kulikoleta mkanganyiko wa hadhi ya maeneo , kwa kutolea mfano wa Chanika kuwa jijini huku Magomeni , Kinondoni , Masaki , Temeke , Mwenge na Mbezi Beach kuwa nje ya jiji .
Ametoa plan ambayo kama ingefanyiwa kazi basi mkanganyiko huo usingekuwepo na bado matumizi yangeendelea kubanwa , amedai kwamba kama lengo lilikuwa ni kubana matumizi ilikuwa rahisi tu kubadili muundo wa Jiji ambapo amependekeza vikao vya jiji vingekuwa vya mameya wa manispaa zake kwa lengo la kujadili palikofikiwa kwenye mipango ya manispaa hizo , bado jiji lingeendelea kuwepo bila kuipromote Buguruni kwa Mnyamani na kuitupa Oysterbay .
Mwisho mchangiaji huyo amekiri kufahamu mamlaka ya Rais na amesema hapingi mipango yake