Malumbano la hoja: Mchangiaji ashangaa jiji la Dar kuvunjwa kwa kisingizio cha kubana matumizi , ashangaa Chanika kuwa jiji magomeni kuwa nje ya jiji

Malumbano la hoja: Mchangiaji ashangaa jiji la Dar kuvunjwa kwa kisingizio cha kubana matumizi , ashangaa Chanika kuwa jiji magomeni kuwa nje ya jiji

Mkuu usipaniki siasa n kupambana tu kwa hoja anakera lakn anakiamsha chama chetu kiache kuoanga n chama cha zaman TLP CUF tulianza nao lakn wanamajengo yao sisi tunakwma wap? Tumeshindwa wakt wa ruzuku tutaweza wakat huu mkuu

Viva chadema
Kwani CHADEMA haina ofisi? Yale ni majengo yake toka 2012 na Mnyika alipoingia tu akaongeza na jengo la jirani kuwa eneo la ofisi pia!! Mind you kanda karibu zote zina fully-functioning offices.
 
Mkuu usipaniki siasa n kupambana tu kwa hoja anakera lakn anakiamsha chama chetu kiache kuoanga n chama cha zaman TLP CUF tulianza nao lakn wanamajengo yao sisi tunakwma wap? Tumeshindwa wakt wa ruzuku tutaweza wakat huu mkuu

Viva chadema
Wamepanga wapi CHADEMA?

punguza kuonesha ujinga wako mbele za watu.
 
Anaongea kwa kujiamini kabisa kwamba jiji la dsm limevunjwa[emoji16][emoji16][emoji16].
 
Hao wachangiaji nao vilaza na ndio maana wanafeli Sana mitihani. Ni Nani aliwambia jiji la dar limevunjwa?? WaTZ Wana vichwa vizito sana
He! Wewe unayefaulu mitihani ya kujipendekeza unasemaje? Halijavunjwa?
 
Hawa vijna wa chadema ni mbumbumbu sana
 
Kusema ukweli bado sijaona umuhimu au tija ya maamuzi hayo, labda jpm anajuwa na kushauriwa na wajuzi kuliko sisi, tusubiri ufanisi hasa na mapato yatakuwaje...😕😟🤔
 
Watanzania tu wagumu sana kuelewa...yani ni mwezi sasa unakwenda bado jambo hilo watu hawajaelewa....hahahah eti jiji limevunjwa! Kwani hilo jiji wanaosema limevunjwa lilikuwa linaanzia wapi na kuishia wapi? Hahahaha yani hili swala la jiji ndio linashihirisha uwezo wetu wakuelewa mambo!

Yani hadi huyo mchungaji anajua jiji limevunjwa hahahahaha! Yani watu hadi leo wameshindwa kujua kilichovunjwa!
 
Huu uamuzi naamini awamu ijayo utatupiliwa mbali.
Atakae uvunja itabidi tumuulize unavunja na kuupa mkoa hadhi ya jiji kwa utaratibu hupi?

Sikuzote huwa tunaanza na Mji-> Manispaa->Jiji
Moshi ilianza kuwa mji sasahivi ni Manispaa na itafika hatua kuwa Jiji, alikadhalika Masasi sasahivi mji ila itakuja kuwa Manispaa then Jiji baada ya miaka 40 huko..!! Hapo pote kinachozingatiwa mipaka ya Wilaya sio Mkoa..!! Ndani ya mkoa wa Mtwara kuna Manispaa moja tu ha Mtwara mjini, Newala, Masasi, Nanyumbu bado ni miji na itafika hatua zinaweza zote kuwa Manispaa na hatimae kuwa Majiji.

Dar es Salaam lini ilikuwa Manispaa? Lini ulikuwa mji?
 
Akizungumza kwa kujiamini mmoja wa wachangiaji amepinga kuvunjwa kwa jiji kulikoleta mkanganyiko wa hadhi ya maeneo , kwa kutolea mfano wa Chanika kuwa jijini huku Magomeni , Kinondoni , Masaki , Temeke , Mwenge na Mbezi Beach kuwa nje ya jiji .

Ametoa plan ambayo kama ingefanyiwa kazi basi mkanganyiko huo usingekuwepo na bado matumizi yangeendelea kubanwa , amedai kwamba kama lengo lilikuwa ni kubana matumizi ilikuwa rahisi tu kubadili muundo wa Jiji ambapo amependekeza vikao vya jiji vingekuwa vya mameya wa manispaa zake kwa lengo la kujadili palikofikiwa kwenye mipango ya manispaa hizo , bado jiji lingeendelea kuwepo bila kuipromote Buguruni kwa Mnyamani na kuitupa Oysterbay .

Mwisho mchangiaji huyo amekiri kufahamu mamlaka ya Rais na amesema hapingi mipango yake
Wameiacha osterbay sabab IPO vzr wanaipromot bugurun kwa mnyaman ili nayo ifikie hadh ya osterbay
 
Back
Top Bottom