Malumbano Spika Ndugai vs Raia Samia ni mpango mkakati, Watanzania msizuzuke

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habar wadau

Nitaandika machache tu unajua sisi watanzania tunaishi kwa propaganda na kufuata mkumbo nje ya uhalisia sisi ni kama tupo tupo tu ila samahani nini sisi hatuna effects yoyote huko juu na watawala wanalijiua hilo si uchaguz si maamuz si uteuzi si siasa sio mikopo sio barabara wala sio kisima yaani hayo yote wakubwa ndio huwa wanakaa chini na kuamua kipi kiwe wap na kipi kiende wapi

Unajua kwann nahisi huo ni mpango mkakati ni kwambabu tuna katika mbovu na kila mtu anajua bunge halipo huru sasa ayo malumano ni kutuaminisha tu km bunge lipo huru kumbe hamna kitu ndugai kwa samia mtu mdogo sn labda apewe support ya mabayo mkuu wa majesh nje ya hapo ndugai anaweza kutolewa kwenye kiti ndan ya siku moja tu

Km raisi anataka hoja kwa hoja wanyukane vzr aruhusu katiba mpya bunge liwe huru wanyukane vzr na sio kujitetea eti katiba mpya tusibir afanue maendeleo kwanza huku akijua wqaz katiba inambeba yy na si ndugai

Mm nawachek tu wakamaliza io watatunga nyingine
 
Habar wadau

Ntaandika machache tu unajuq sisi watz tunaish kwa propaganda na kufuata mkumbo nje ya uhalisia sisi ni km tupo tupo tu ila samahan nini sisi hatuna effects yoyote huko juu na watawala waalijiua hilo si uchaguz si maamuz si uteuzi si siasa sio mikop sio barabara wala sio kisima yaan hayo yote wakubwa ndio huwa wanakaa chin na kuamua kipi kiwe wap na kip kiende wap

Unajua kwann nahisi uo ni mpango mkakati ni kwambabu tuna katika mbovu na kila mtu anajua bunge halipo huru sasa ayo malumano ni kutuaminisha tu km bunge lipo huru kumbe hamna kitu ndugai kwa samia mtu mdogo sn labda apewe support ya mabayo mkuu wa majesh nje ya hapo ndugai anaweza kutolewa kwenye kiti ndan ya siku moja tu

Km raisi anataka hoja kwa hoja wanyukane vzr aruhusu katiba mpya bunge liwe huru wanyukane vzr na sio kujitetea eti katiba mpya tusibir afanue maendeleo kwanza huku akijua wqaz katiba inambeba yy na si ndugai

Mm nawachek tu wakamaliza io watatunga nyingine

Adui mkubwa wa hofu, mashaka, tashwishi nk ni hofu, mashaka, tashwishi nk zenyewe.

Ukiendekeza mashaka utakuwa na mashaka hata na kivuli chako mwenyewe.

Kwani ni kitu gani kigumu kukiona hapa?

Sakata la Ndugai: Mashabiki wako mkao wa Kula
 
Sogeza pua uone wacha tu waigize wakichoka wataacha

Hapa pana minyukano. Mama upande mmoja na Ndugai upande mwingine.

Mbombo yenyewe si cha mtoto.

Hapa pana washirika na maadui kwa upande mmoja kama ilivyo kwa mwingine.

Bahati mbaya eti kuna na wapenzi watazamaji (mashabiki) wa vita ambao ni kama watoto wadogo tu. Hawa wako kiburudani zaidi na kimkao wa kula.

What a shame?

Kumbuka vita si burudani.

Vita hivi vinaweza kupelekea uhuru kamili wa mihimili. Awaye yote mwenye akili timamu hawezi kuwa shabiki tu kwenye vita hivi:

Sakata la Ndugai: Mashabiki wako mkao wa Kula

Huo ndiyo ulio ukweli mchungu.
 
Hamna vita pale ndugai atashindwa tu rqis ana madaraka kibao
 
Habar wadau

Nitaandika machache tu unajua sisi watanzania tunaishi kwa propaganda na kufuata mkumbo nje ya uhalisia sisi ni kama tupo tupo tu ila samahani nini sisi hatuna effects yoyote huko juu na watawala wanalijiua hilo si uchaguz si maamuz si uteuzi si siasa sio mikopo sio barabara wala sio kisima yaani hayo yote wakubwa ndio huwa wanakaa chini na kuamua kipi kiwe wap na kipi kiende wapi

Unajua kwann nahisi huo ni mpango mkakati ni kwambabu tuna katika mbovu na kila mtu anajua bunge halipo huru sasa ayo malumano ni kutuaminisha tu km bunge lipo huru kumbe hamna kitu ndugai kwa samia mtu mdogo sn labda apewe support ya mabayo mkuu wa majesh nje ya hapo ndugai anaweza kutolewa kwenye kiti ndan ya siku moja tu

Km raisi anataka hoja kwa hoja wanyukane vzr aruhusu katiba mpya bunge liwe huru wanyukane vzr na sio kujitetea eti katiba mpya tusibir afanue maendeleo kwanza huku akijua wqaz katiba inambeba yy na si ndugai

Mm nawachek tu wakamaliza io watatunga nyingine
Na kujiuzulu kwa spika bado ni mpango wa kuonyesha Bunge lipo huru so ndio???
 
Mimi shauku yangu ni kuona tu ccm ikipotea kwenye siasa za nchi yetu. To be honest, i really hate this primitive and outdated political party.
 
Ndugai ni hopeless kabisa alikuwa anajua kinachoweza kifuatia, ndio maana akaleta pigo za kushambuliwa kisa mgogo, hapo mpaka mda huu wagogo wote hawatampenda mama...ngoja tuone na wasukuma nao wanafuatia usidhani Gwaji alikuwa hajui kuwa jamaa kashaweka barua mezani

Watakaotoswa nao wataanzisha ya ukabila "sukuma gang", mara watu wa kusini n.k hii miaka mitatu itakuwa interesting kwa kweli, huku mama kaachiwa zigo la misumari (mbowe) ukaskazini - wachaga.

I can foresee tribalism kwenye siasa zinazokuja
 
Habar wadau

Nitaandika machache tu unajua sisi watanzania tunaishi kwa propaganda na kufuata mkumbo nje ya uhalisia sisi ni kama tupo tupo tu ila samahani nini sisi hatuna effects yoyote huko juu na watawala wanalijiua hilo si uchaguz si maamuz si uteuzi si siasa sio mikopo sio barabara wala sio kisima yaani hayo yote wakubwa ndio huwa wanakaa chini na kuamua kipi kiwe wap na kipi kiende wapi

Unajua kwann nahisi huo ni mpango mkakati ni kwambabu tuna katika mbovu na kila mtu anajua bunge halipo huru sasa ayo malumano ni kutuaminisha tu km bunge lipo huru kumbe hamna kitu ndugai kwa samia mtu mdogo sn labda apewe support ya mabayo mkuu wa majesh nje ya hapo ndugai anaweza kutolewa kwenye kiti ndan ya siku moja tu

Km raisi anataka hoja kwa hoja wanyukane vzr aruhusu katiba mpya bunge liwe huru wanyukane vzr na sio kujitetea eti katiba mpya tusibir afanue maendeleo kwanza huku akijua wqaz katiba inambeba yy na si ndugai

Mm nawachek tu wakamaliza io watatunga nyingine
Hakuna kitu kama hicho, nani anaweza kukubali kudharirika kiasi hicho tena Ndugai?!!hiyo ni KARMA , tu kwa watz hawa hakuna haja ya kufanya hata mpango wowote ili iweje?watu wenyewe akili kama za kondoo!!mzee amejichanganya amedharirika basi.
 
Back
Top Bottom