Malumbano ya Jaguar na Watanzania pembeni, leo kuna mtanange wa Tanzania na Kenya, nani ataolewa

Diamond-Tanasha whatever her name is
Ally Kiba-Mombasa woman
Ben Paul-Some rich girl i dont know her name

3-0 tunawaoa Wakenya kama kawaida.
 
Lissu tulimuuguza, kaja mwili umejaa risasi, sijui yalimtendekea kwenye nchi gani maana Tanzania huwa tunaambiwa ni nchi ya amani watu wanapendana sana kila siku wanamkiana, na kila mwenye mali hugawa kwa walio maskini yaani ni nchi ambayo kila mtu hutabasamu kwa furaha.
Hakuondoi ukweli wa siasa za hapo Sasa...sisi tunawaombea tu. Ndio chenye tunaweza kufanya.
 
Kwani wale ni wanawake? Mbona mnasema mambo ya kuoana kiumeni?. Kumpaf kabisa nyang'au
 
Hakuondoi ukweli wa siasa za hapo Sasa...sisi tunawaombea tu. Ndio chenye tunaweza kufanya.
Huko kwenu leo hii mnalumbana na mashirika yote ya kimataifa kisa uvunjaji wa haki za kibinadamu, watu wanatoweka hawapatikani, tumeona taarifa za upinzani ukinunuliwa hela cash money, akina Lowasa wamebabisha hadi wakarudi nyumbani, viongozi wakuu wa upinzani akina Mbowe walinyea debe jela miezi kadhaa, yaani ukijifanya unajikuna yanakukuta....halafu unasema mna hadhi ya kuombea yeyote au ndio mtuambukize laana.
 
Vipi huko kwenu hakuna uvunjanji wa haki za binadamu? Tena zaidi ya Tz, Go go goooo Magu wanyooshe hadi wakae kwenye line waache ukora [emoji23][emoji23][emoji23]safari hii mtanyoonya mtaju hamjui
Huko kwenu leo hii mnalumbana na mashirika yote ya kimataifa kisa uvunjaji wa haki za kibinadamu, watu wanatoweka hawapatikani, tumeona taarifa za upinzani ukinunuliwa hela cash money, akina Lowasa wamebabisha hadi wakarudi nyumbani, viongozi wakuu wa upinzani akina Mbowe walinyea debe jela miezi kadhaa, yaani ukijifanya unajikuna yanakukuta....halafu unasema mna hadhi ya kuombea yeyote au ndio mtuambukize laana.
 
Huko kwenu leo hii mnalumbana na mashirika yote ya kimataifa kisa uvunjaji wa haki za kibinadamu, watu wanatoweka hawapatikani, tumeona taarifa za upinzani ukinunuliwa hela cash money, akina Lowasa wamebabisha hadi wakarudi nyumbani, viongozi wakuu wa upinzani akina Mbowe walinyea debe jela miezi kadhaa, yaani ukijifanya unajikuna yanakukuta....halafu unasema mna hadhi ya kuombea yeyote au ndio mtuambukize laana.
Hahaha Haijawahi tokea watu wa cabinet waka plot assassination ya high target value Kama VP. Hivyo hilo lazima ukubali kwanza.

Hayo unayosema it's just domestic squabble
 
Lissu tulimuuguza, kaja mwili umejaa risasi,

Mlimuuguza bure??

sijui yalimtendekea kwenye nchi gani maana Tanzania huwa tunaambiwa ni nchi ya amani watu wanapendana sana kila siku wanamkiana, na kila mwenye mali hugawa kwa walio maskini yaani ni nchi ambayo kila mtu hutabasamu kwa furaha.
Nchi gani yenye amani isiyokua na majambazi wala matukio yakihalifu?

Kwaiyo utasema wanaosema mbinguni kuna amani ni waongo kwasababu vitabu vimedai kulikua na vita dhidi ya shetani??

Tukisema kua ugali ni chakula kisicho na madhara hiyo inamaanisha mtu mmoja akikabwa na tonge akifa tuseme ni chakula kisichofaa??
 
Huko kwenu leo hii mnalumbana na mashirika yote ya kimataifa kisa uvunjaji wa haki za kibinadamu, watu wanatoweka hawapatikani, tumeona taarifa za upinzani ukinunuliwa hela cash money, akina Lowasa wamebabisha hadi wakarudi nyumbani, viongozi wakuu wa upinzani akina Mbowe walinyea debe jela miezi kadhaa, yaani ukijifanya unajikuna yanakukuta....halafu unasema mna hadhi ya kuombea yeyote au ndio mtuambukize laana.
Inaonekana siasa ya bongo imekua trend sana kenya kiasi cha kuifunika siasa ya nchi yenu

Mimi juzi ndio nimejua kua jagwa nae ni mbunge huko kwenu
 
Wala ni watu wachache sana huku wanajua chochote kuhusu siasa zenu, hususan wale ambao wamewahi kuishi Tanzania kama mimi hapa kwa mfano nimeishi Bongo miaka mingi na nimekatiza mikoa na wilaya nyingi huko, hivyo hamna kitu unaweza kunidanganya cha kuwahusu nyie, nawafahamu vizuri tu.
 
i'm a very patriotic tanzanian, i real love my country and taifa stars. but honestly speaking,i hate bashite to the fullest.

when he started to put his big dirty ass in this team, is when i started to pray for it to loose.

kenyans i'm with you today. go go harambee stars.
 
Kenya mpira mnaangalia kweli? Nani kaolewa mpaka dakika hii
 
Back
Top Bottom