Malumbano ya Spika Sitta na Mzee Mrema

Mh Sitta naona siasa za maji taka anaziwezaa pia..Yetu machooo..
 
Mrema ni msanii, ni ssm damu damu, ni serikali na usalama damu damu. Anatumiwa kukumaliza, hivyo, Mr. Six uwe macho, mafisadi wakipanya mwanaya kidogo watakumaliza kupitia mifumo mbalimbali. Kama ambavyo alitumwa kumaliza upinzani, ndipo pia atatumwa kukumaliza kisiasa maana unaonekana ni mpinzani ndani ya chama chao.
 
Huyu Mrema nae anaisha vibaya amebakia kutapatapa Siasa imemshinda akae atulie malumbano ya nini!
 
-Mrema aliweza kuwa na nguvu kipindi kile kutokana na vugu vugu lilokuwepo plus uchapaji kazi wake ktk serikali ya Mwinyi

-Hata hivyo Mrema huyo huyo nimekuja kujiridhisha kwamba ni traitor coz alichangia sana kuuwa vuguvugu la mageuzi,hakutumia ile status yake kama mpinzani aliye-enjoy ile popularity ya kukubalika na more than 25 percent ya voters kuonyesha kwa nini yeye ni toafauti na CCM

-Udikteta wake alioupeleka ndani ya vyama ulikua hauna tija.Yes,nakubali kuwa si kila udikteata ni mbaya but look at Mrema's dictatorship umesaidia vipi katika kuujenga upinzani imara?

Mpaka tunapoongea hapa sasa hivi Mrema haoni kama uongozi wa JK una kasoro,sasa mtu akishakua na mawazo kama haya atasaidika vipi?Ndani ya CCM kwenyewe kuna watu ambao hawakubaliani na uongozi wa JK lakini Mrema yeye haoni kosa kabisa

Mrema ameudhoofisha sana upinzani na anaonekana kama traitor.Hata kama alikua amefanya makubwa kiasi gani kwa hili taifa,position anayosimamia sasa hivi imechuja rangi ya yale mazuri yote aliyokua ameyafanya,wale wakuu mnaomtetea Mrema kwa sasa naomba kuwauliza swali...Je Mrema akiwa fisadi sasa hivi bado mtaendelea kumuunga mkono?
 

Ben hapa nakubaliana na wewe, Mrema ndio ni living legend kwenye politics za Tanzania, nadhani kumtetea Kikwete ndipo alipoharibu lakini kwa upande mwingine hata mimi binafsi namuunga mkono Kikwete maana he is the only president aliye dare kuwafikisha mawaziri, ingawa sakata la Richmond halikwenda kama tulivyotarajia lakini Kikwete ameanzisha the change wengine waje kumalizia huko mbele, kwani huu ufisadi uliaanza kwenye uongozi wa Kikwete, ulikwepo kwaanzia kwa Mwalimu. lakini all the past president didint do shiit

my question is, between the four presidents of Tanzania kuanzia na Mwalimu mwenyewe nani ndio anaye ongoza kupiga vita ufisadi? the answer should be Kikwete. the problem with most Tanzanians they wanted Kikwete to hang all mafisadi, lakini pia wao wana haki zao in the court of law.

na most Tanzanians hunu JF forum wako abroad, na hata ambao wako tanzania they dont care about voting, people do complain but they cannot use their right to vote, misemo ni ile ile, si wataiba kura tu?

For me personally, waraka zilizotolewa na Waislamu na Wakristo pamoja na Ufisadi wa BOT, Richmond n.k nilitegemea CCM watapoteza wafuasi wengi. Lakini kwenye chaguzi za Serikali za Mitaa they won on a landslide margin. sasa unaniambia hapa tuna expect nini October 2010. Mrema awapigie debe au la vyovyote vile Kikwete na CCM watashinda kwa kishindo comes October.

the change always start with us...especially you
 
EATV si wanatafuta wachekeshaji? wasimwache huyu mzee.

Yaani hivi ndio huyuhuyu tuliekuwa tuna muunga mkono enzi zile au CCM wamemharibu akili au nisisi tulikuwa hatufikirii sawasawa kumuunga mkono mtu mbovu?
 

Just to add on red marks.. Kikwete amelita freedom of speech than any of previous leaders...
 

JK amewafikishaje hao mawaziri kuliko Rais mwingine yeyote?
 
JK amewafikishaje hao mawaziri kuliko Rais mwingine yeyote?

Mramba na Yona walikuwa mawaziri, wote wana kesi mahakamani ya matumizi mabaya ya vyeo, na mramba na yona sio mafisadi wa kwanza, walikuwa enzi za mwinyi na mkapa...lakini walikuwa wanabadilishswa tu vyeo enzi hizo......
 
Mramba na Yona walikuwa mawaziri, wote wana kesi mahakamani ya matumizi mabaya ya vyeo, na mramba na yona sio mafisadi wa kwanza, walikuwa enzi za mwinyi na mkapa...lakini walikuwa wanabadilishswa tu vyeo enzi hizo......

Unafikiri hiyo ilikuwa ni kazi ya Kikwete?kama angekuwa ni yeye naamini asingethubutu kuwateua kuwa Mawaziri kwani dhambi yao sio ya jana..Sio yeye..Hebu nieleze ni yeye amefanya nini katika hao?
 
  • Kama unamsifia Raisi lakini unaiponda serikali anayoiongoza
  • Kama unamsifia Kikwete lakini unawaponda viongozi anaowachagua
  • Kama unamsifia Mwenyekiti lakini unakiponda chama anachokiongoza
  • Kama unamsifia Kamanda lakini unaponda majeshi anayoyaongoza
  • Kama unamsifia Kocha lakini unaponda uchezaji wa timu uwanjani
Je tukueleweje ?

  • Kama huridhiki na chama kinavyoendeshwa lakini unabaki humo humo
  • Kama huridhiki na uongozi wa chama lakini unawachagua wale wale
  • Kama huafiki utendaji ndani ya chama kwani ufisadi umejaa tele tele
  • Kama wadai unawachukia mafisadi lakini unashiriki nao nyakati zote
  • Kama pamoja na chombo kwenda mrama wewe umebana mle mle
Je, tukueleweje ?
 

Kwani mtu kufikishwa mahakamani ndio nini?
 
nawahurumia wakazi wa vunjo wanaotaka huyu mweshimiwa awe mwakilishi wao bungeni - kazi kweli kweli
 
Naona hata Crispin Meela anafaa zaidi ya Mrema.
Nadhani akijitokeza John Mrema wa CHADEMA huko kutakua moto wa kuotea mbali
 
Mhh ndugu yangu wee umekuwa Mungu?


Ok basi, siku za mwanzo za uhai wake kama hutaki kuamini kuwa siku za uhai wake zinahesabika!!! Mrema anajipendekeza ili apate kiinua mgongo cha Unaibu Uwaziri Mkuu wake, cheo ambacho hakipo kwenye katiba, hana jipya!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…