Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Anayo siku nyingi sana, we huoni MIJIPU usoni?Nilidhani kishakwaa miwaya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayo siku nyingi sana, we huoni MIJIPU usoni?Nilidhani kishakwaa miwaya!
Alianza mwenyewe kumchokoza sasa amerushiwa makombora anaanza kuhaha!
Nilidhani kishakwaa miwaya!
Huyu naye na 'siku saba'
Halaumiki kwani huu si kamchezo ka siku hizi? Matajiri tunawasikia wakividai hata vigazeti vya udaku,
Alianza mwenyewe kumchokoza sasa amerushiwa makombora anaanza kuhaha!
Kisingi Vunjo ashashindwa, na huo ndo mwiso wake. Japo inategemea hao watu wa vunjo kama watamtaka mtu wa aina hii. Sidhani kwanza kama ni vema kumlinganisha Kimaro na "Komedian" MremaMrema naona sasa anaisha kabisaaaa...anaelekea kufulia kisiasa asijeshangaa hata huko vunjo akakosa ubunge...
Huyu jamaa anatumiwa 'kumchafua' Sita, mmesahau kazi zake mara hii? hamjiulizi kwa nini wakati huu Mrema anamwandama sana Sitta na sio mwingine? ana nguvu gani za kisheria kudai fidia kabla hata kesi haijaenda mahakamani? mahakama si ndo inatoa haki?
Nikweli kaathirika na kama ingekuwa ni hayo ya HIV mbona kwa sasa siyo tatizo. ni hili lake na jinsi ambavyo halina dawa ila faraja tu. Kwa huyu bwana uelekeo wake hauna turn about. ndo anaelekea kuwekwa katika histiria hivo!Nakubaliana nawe nafikiri ulikuwa mvuto tu.
Nani atampa ubunge mtu aliyefilisika kisiasa na kiuchumi
Huyu mzee anaumwa kimwili, kiakili na kihali na mali. Hii kokoro yote anayofanya ni katika kutaka kufanikisha yafuatayo:
1. Kupata kuungwa mkono na kundi la mafisadi ya CCM ili apate kugombea jimbo la Vunjo. Anajua kabisa mbunge wa sasa mafisadi hawamtaki kwa hiyo anajaribu kubahatisha hapo. Mara anamsifia JK, mara anamshambulia Sitta, yote kuwajulisha mafisadi mimi niko hapa nitumieni.
2. Kupata hisani ya mafisadi kwa ajili ya mkate wake wa kila siku, anajua akimvaa Sitta lazima mafisadi watafurahi na japo kumrushia hapo chochote. Njaa mbaya jamani!
Si muda mrefu utasikia mzee huyu karudi kundini, labda mafisadi wamdharau na wasihitaji kumtumia.
Najuuuuta kulisukuma gari la Mrema 1994 kwenye vilima vya UDSM...kiu ya mabadiliko ingetuponza kuwa na rais pambafu kama huyu!
Ngongo hivi kwani Mrema kaanza leo kwenda mahakamani kudai hizo fidia unaweza kutuambia hadi leo ameshalipwa kiasi gani lengo hasa la Mrema ninavyoona mimi huwa si kulipwa ni kuonekana kwa watu kwa lugha ya kileo ni sehemu ya kutokea anajua akiwa anaandikwa kila siku magazetini ndiyo raha yakeBwana A L Mrema ana haki kabisa kumburuza mahakamani Mheshimiwa S Sitta kama anaona amekashifiwa.Ikumbukwe Bwana Mrema si mtu wa kwanza kukimbilia mahakamani kwa kukashifiwa wako kina Mheshimiwa Rostam Azziz,Reginald Mengi,Yusuph Manji na wengineo kibao kinachonishangaza wote hawakuitwa machizi,wameathirika au punguani kwa kwenda mahakamani kutafuta haki.
Mheshimiwa S Sitta anaweza kujikuta katika matatizo ambayo kwa hakika angeweza kuyakwepa,kutoa kauli kwamba fulani kafilisika kisiasa nadhani si kosa lakini unapokwenda mbali zaidi kusema fulani kaishiwa hana fedha kwa maoni yangu nadhani hiyo ni kashfa unless aweze kuithibitishia mahakama bila shaka yoyote.