Future-Tanzania
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 334
- 7
he he heee,mtu wa pili kuplekwa mirembe huyooo,pinda mpe maneno yake,sasa ndio huyu angekuwa rais wetu huyu???
haaa.. why not...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
he he heee,mtu wa pili kuplekwa mirembe huyooo,pinda mpe maneno yake,sasa ndio huyu angekuwa rais wetu huyu???
Mwenyekiti wa Tanzania Labour Party Mh Augustine Mrema leo ametangaza fedha alizonazo kwenye account yake ya benki. Mrema amesema ana shilling miilion 37 kwenye hiyo akaunti ambazo zimemzidi za Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Pinda ambaye hivi karibuni alitangaza kwamba ana shilling million 25 kwenye account yake.
Mrema amehoji kama ana fedha zaidi ya Waziri Mkuu Pinda iweje Sitta aseme hana uwezo wa kifedha. Kama yeye kafulia Waziri mkuu ni vipi......
Habari zaidi nikizipata...............................
Jamani walio karibu na Mrema wajaribu kumpa ushauri nasaha ukiona mtu anaongea mambo mengi yasiyo na mpangilio na hayaoani na sababu anazozitoa si bure hivi Mrema ni mtumishi wa umma au mimi sijui ina maana anataka tujue ana pesa ngapi benki au anataka kujilinganisha na wengine kama ni hivo mbona hata Nyerere alikuwa hana mali nyingi kama walivyo wengine atasemaje kwa hilo basi tumsamehe bure hasa nikikumbuka nilivyokuwa nahangaika kumbeba pale jangwani na mimi Mungu anisamehe bure.
Teh teh teh,yaani Mrema ni kiboko kwa kugonganisha watu.So anataka ionekane kwamba Sitta nae kamtukana Pinda indirect? yaani opportunity yoyote ya kujenga hoja kisiasa hawezi iacha.Lakini si kuna kipindi alitangaza kuwa ana milioni 300?sasa zimeshuka ghafla au yalikua mazungumzo ya kisiasa?lol
Kweli kila shetani na mbuyu wakehaaa.. why not...
Kweli kila shetani na mbuyu wake
Future-Tanzania una maana kila mtumishi wa umma aliyestaafu atangaze mali zake kusema anawajibu watu wa JF si kweli ni ujuha tu alivyoambiwa kafulia ni pamoja na matendo yake anayoyafanyaLuteni,
Nafikiri Mrema had a right to do this... he is in politics and he was mtumishi wa UMMA for almost his adult life (working life).. sasa kwanini asitangaze? Alafu kumbuka watu hata umu JF anamesema amefulia mara ohh awezi kujitibu, hawezi kulisha familia yake etc... and that was based on what??? i am not sure!!!
Sasa amewaambia how much he has in saving account and its above Pinda.. sasa bado amefulia? na kama that the case Je Pinda amefulia pia..
ngoja nitafute kwenye magazeti
Sasa Mrema kakosea nini? ana hela na sio muongo kama pinda na nina UHAKIKA mrema ndio mwenye hela chache kuliko wanasiasa na wabunge wote.Mrema kasema ukweli PINDA waziri mkuu mzima kadanganya and shame on him..wengine hawatatangaza kwa sasbabu hela zao ni nyingi na haziendani na mapato yao .mream sio kichaa hata kidogo japo hafai kumpa urais ila naona hajadangaya Pinda ni muongo kabisa...
Future-Tanzania una maana kila mtumishi wa umma aliyestaafu atangaze mali zake kusema anawajibu watu wa JF si kweli ni ujuha tu alivyoambiwa kafulia ni pamoja na matendo yake anayoyafanya