Malumbano ya Spika Sitta na Mzee Mrema

Malumbano ya Spika Sitta na Mzee Mrema

My big question is kwanini hao source wezi wa Richmond waliosababisha hili saga bado wanadunda mitaani tusiwasakame tumsakame mtu aliyesaidia kutuonyesha huyo mwizi hilo ndilo swali langu kuu
Mkuu nadhani jibu lipo ktk maneno ya signature yako.. jaribu kuyasoma kwa makini kisha fanya kinyume utaipata picha haswa ya kumsakama mmwagaji zege!
 
Haswaaaaa! wakuu zangu tunachezewa akili zetu kama walio lala vile! Huko CCM na Bungeni kwenye sheria mh. Sitta katuvuruga sasa sielewi huko makanisani ndio kuna jipya gani, zaidi ya kutafuta kura za wananchi apate kurudi bungeni.

Mkandara hebu try to be realistic Sitta kakuvuruga vipi zaidi ya mafisadi
 
My big question is kwanini hao source wezi wa Richmond waliosababisha hili saga bado wanadunda mitaani tusiwasakame tumsakame mtu aliyesaidia kutuonyesha huyo mwizi hilo ndilo swali langu kuu

Luteni, wanadunda mitaani kwasababu only chance of freedom ya haki kutokea ilinyakuliwa na SITTA aka Mpiganaji... SITTA ametusaliti watanzania na yeye kusoma lile azimio la wabunge wa CCM kuvunja richmond hoja ilikuwa ni maslai yake zaidi na CCM... Hii nchi na bunge si la CCM yeye kwanini alikubadi kuvunja Hoja? je should we judge him by that au kilio chake cha anaonewa CCM? na kama anaonewa anafanya nini kule? IS this not a free country with Multi-polical parties?
 
Hawa naona uzee unawajia vibaya,ma babu wazima wanakuwa na bifu za kibongo fleva!!
 
Hilo ndo swali muhimu analotakiwa kuwajibu Watanzania kwa ufasaha na sio blah blah kwa Mrema..

Kanishangaza eti anataka kumfungulia Mrema mashitaka mahakamani? Aachee siasa za maji taka!
Nyauba you are forgetting that this is assumed to be a free democratic country! Mrema anayo haki ya kubwabwaja utumbo wowote ule mradi havunji sheria na Sitta naye nje ya Bunge si Spika wa jukwaa la wananchi ni mwananchi huru mwenye haki hiyo hiyo ya kusema anachotaka popote pale mbele ya kadamnasi midhali havunji sheria. Hakuna mahali wanaposema viongozi wa CCM wanapaswa kufunga midomo yao mara wanapotoka kwenye vikao vya Chama na vya Bunge for that matter! Kama Mrema ametoa maneno ambayo kisheria anaweza kuchukuliwa hatua, so be it.

Wanaomsakama Sitta kwa kuendeleza mjadala wa Richmond baada ya mjadala kufungwa Bungeni wanasubiri nini kwenda kumshitaki maana 'kavunja sheria' ya Uspika wake? Kama inavyojidhihirisha humu bado watu hawajaridhishwa na mjadala huo wa Richmond kuvunjwa katika mazingira ya kutatanisha. Huenda Sitta 'alisalimu amri' kwa maslahi ya Taifa; who knows what conspired kwenye vikao nyeti vya CC, NEC na Wabunge CCM?
 
Hapana, hapa kuna kamchezo kachafu kametokea, yawezekana tumechezewa, au ni changa la macho hili. Huyu Mrema wa sasa siye yule Augustino Lyatonga maarufu mzee wa Kilalacha, huyu wa sasa siye, ndio nalazimika kuamini kuwa "wachina" pengine wamefanya vitu vyao, au pengine ni zile tabiri zilizotolewa mwanzoni mwa mwaka huu na mbashiri yule wa pale magomeni, labda, lakini mwenzenu Mrema huyu wa sasa simwelewi, sijui amekutwa na nini jamani.

Hivi mwakumbuka kauli zake za toka 1995? hasa wakti akijiuzulu uwaziri wa Mambo ya ndani, ubunge na hatimaye kuhama chama na kwenda NCCR kabla ya kwenda uko aliko sasaivi?

Wana JF najua hapa ndo kisima cha yote haya, naomba mwenye kumbukumbu ya kauli za mzee wa Kilalacha tukumbushane jamani, je kweli huyu ndiye yule yule au pengine ni miye tu ndo namwona tofauti?
 
Luteni, je rais ndie mwendesha bunge? ni kazi ya rais kusimamia hoja za kila siku bungeni? nimesahau civic yangu ya secondary school naomba unikumbushe..

He is the overall overseer of whatever is happening in the country he has been entrusted to lead. Of course, akiona Bunge halikufanya kazi yake ipasavyo yeye anapaswa kuingilia kati na kurekebisha mambo. Your civics seems to be outdated!
 
Spika sitta nae kafulia tuache kumpamba najiuliza ni kwanini alifunga mjadala wa Richadmonduli kiyamela badala ya kushinikiza serekali itekeleze maazimio yote ya bunge yeye kakimbilia kuzima mjadala.

sikubaliani na kauli yako Sitta hakuwa na njisi - ilikuwa mawili - either bunge likatae utekelezaji wa mapendekezo ya kamati teule - then bunge lipige kura kutokuwa na imani na serikali ikifika theruthi 2 ya kutokuwa na imani then serikali invujwe na tuanze uchaguzi upya
au
Kukaa kama kamati ya wabunge wa CCM na kuiokoa serikali.

Sasa lilifanyika ni hili la pili, sasa wewe ulitaka Sita afanye lipi zaidi ya hayo aliyoyafanya kusaidia hata mjadala tu ufanyike bungeni kwa uhuru vile?

Kumbuka sita ni mwanachama wa CCM - hakuwa na choice nyingine bali kukubaliana na chama chake kuumaliza mjadala kuiokoa serikali.

Wengi hatujapenda namna mjadala huu ulivoisha - lakini huwezi kutupia lawama wa Sitta - Kama spika katimiza wajibu wake navyoona mimi.
 
Naona mamluki wako kibao......nafikiri wanakinyongo na mzee samwel sitta.
 
Hawa naona uzee unawajia vibaya,ma babu wazima wanakuwa na bifu za kibongo fleva!!
mie naona Mrema ndie ambae uzee umepofusha uwezo wake na juhudi zake za kuwakomboa WaTZ wenzake, huyu ndie yule aliyekua anaunguruma TZ yote inatetemeka.
Ila mimi nina wazo moja, AugustinoMrema amekuwa sehemu ya Usalama wa Taifa ile iliyokuwa ikiwavuruga na kuwatia vizuizini Watanzania , huyu ni miongoni na wale waliomlazimisha kwa matendo yao yule mkurugenzi wa Usalama wa Taifa ajiuzuru kwa fedheha, huyu huenda alishiriki kwenye kuwapoteza WaTz wenzetu wengi.......sasa damu yao inamlilia Mrema , anaona mawenge kila mahala, anaweweseka, analia, anajuta na anaomboleza sasa.
na katika majuto hayo ndio uwendawazimu wake unaongezeka, Nimekusamehe mzee wa KIRARACHA.
 
Haswaaaaa! wakuu zangu tunachezewa akili zetu kama walio lala vile! Huko CCM na Bungeni kwenye sheria mh. Sitta katuvuruga sasa sielewi huko makanisani ndio kuna jipya gani, zaidi ya kutafuta kura za wananchi apate kurudi bungeni.

Tanzania tangu ipate uhuru hijawahi kuwa na spika mtendaji kazi mzuri kama Samwel Sitta, wenye wivu na mjinyonge.
 
sikubaliani na kauli yako Sitta hakuwa na njisi - ilikuwa mawili - either bunge likatae utekelezaji wa mapendekezo ya kamati teule - then bunge lipige kura kutokuwa na imani na serikali ikifika theruthi 2 ya kutokuwa na imani then serikali invujwe na tuanze uchaguzi upya
au
Kukaa kama kamati ya wabunge wa CCM na kuiokoa serikali.
Sasa we ulitaka Sita afanye lipi zaidi ya hayo aliyoyafanya kusaidia hata mjadala tu ufanyike bungeni?

Kumbuka sita ni mwanachama wa CCM - hakuwa na choice nyingine bali kukubaliana na chama chake kuumaliza mjadala kuiokoa serikali.

Wengi hatujapenda namna mjadala huu ulivoisha - lakini huwezi kutupia lawama wa Sitta - Kama spika katimiza wajibu wake.

THANKS ELNINO! Umeielezea barabara. Mwenye macho aone na mwenye masikio asikie. There is a lot behind political curtains!
 
Haswaaaaa! wakuu zangu tunachezewa akili zetu kama walio lala vile! Huko CCM na Bungeni kwenye sheria mh. Sitta katuvuruga sasa sielewi huko makanisani ndio kuna jipya gani, zaidi ya kutafuta kura za wananchi apate kurudi bungeni.
Mkandara, you of all the people should know better! Anayevuruga watu ni Sitta ama ni viongozi wa CCM ambao kwa kulinda maslahi yao binafsi hawako tayari kuona kwamba Taifa linadidimia kutokana na wao kufumbia macho mmomonyoko wa maadili uliokithiri nchini? Angalau Sitta ameweza kuonyesha kutokubaliana na hao viongozi wenziwe.
 
Nini tunakijadili hapa???????

Waliojitambulisha kama wapiganaji wako wapi, wamekufa vitani? au wamezidiwa nguvu na kukimbia kuokoa uhai wao (posho mbilimbili) wakati wafuasi wao wanauwawa.

NAWASHANGA WANA JF KULUMBANA KWA SABABU YA SITTA, i dont see the reason, Sita alituaminisha Watanzania wote kuwa wapiganaji watapigana mpaka mwisho na mungu atawasaidia wapiganaji watashinda, Je ushindi ndio huu?

SITTA KUWAAMBIA WATANZANIA KUWA ALIPONEA CHUPU CHUPU KUFUKUZWA CCM HAIMFANYI KUWA SHUJAA sana sana inathibitisha kuwa yeye ni mbwa koko (corward). Wangapi wamefia maslahi ya taifa? wangapi wanataabika kwa sababu walisimama imara kutetea maslahi ya taifa. ambalo Sitta leo ajipitishia posho kbao?

Tukiwa na viongozi waoga kama Sitta, Wanaoogopa kufukuzwa kwenye chama nchi itaenda wapi.

Mh Zitto alipofukuzwa bungeni kwa sababu ya Buzwagi na baadae ikathibitika kuwa alichokuwa anasema ni kweli ndiyo siku alipotuonyesha UZALENDO WA KWELI NA NDIYO HESHIMA ALIYONAYO MPAKA LEO KENYE JAMII YETU.

Kama Sitta ameogopa kufukuzwa basi na sisi tunaogopa kumpa heshima kama shujaa wetu.

Ama tuache kujadili au tukubali ukweli kuwa hatujui walipo wapambanaji wa ufisadi. Na Sitta si shujaa kwa sababu hakuna ushindi.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Sitta ajibu hoja za Mrema na sio kumtukana binafsi...yeye mwenyewe alifunga mjadala wa Richmond na alisema atakae ufukua ataadhibiwa na kanuni za bunge..leo hii kwenye makanisa ansema alitaka kufukuzwa kwa ajili hiyo....huo ujasiri wa Siita angetuonyesha wakati bunge lina funga mjadala wa Richmond...unnaaa watanzania hatutaki...........

Sijaona hoja yoyote ya mrema - anaongea pumba nafikiri ni uzee au may be ndiyo kufulia kwenyewe huko. amepoteza mweleo kabisa namshauri arudi CCM wampe ubunge wa kuteuliwa, anajivunjia heshima aliyokuwa nayo kwa watanzania. -

Sitta hana hoja ya kujibu upuuzi - yeye arudi CCM asaidiwe kumalizia muda wake wa kuishi duniani lakini si kukejeli wengine.
 
Nini tunakijadili hapa???????

Waliojitambulisha kama wapiganaji wako wapi, wamekufa vitani? au wamezidiwa nguvu na kukimbia kuokoa uhai wao (posho mbilimbili) wakati wafuasi wao wanauwawa.

NAWASHANGA WANA JF KULUMBANA KWA SABABU YA SITTA, i dont see the reason, Sita alituaminisha Watanzania wote kuwa wapiganaji watapigana mpaka mwisho na mungu atawasaidia wapiganaji watashinda, Je ushindi ndio huu?

SITTA KUWAAMBIA WATANZANIA KUWA ALIPONEA CHUPU CHUPU KUFUKUZWA CCM HAIMFANYI KUWA SHUJAA sana sana inathibitisha kuwa yeye ni mbwa koko (corward). Wangapi wamefia maslahi ya taifa? wangapi wanataabika kwa sababu walisimama imara kutetea maslahi ya taifa. ambalo Sitta leo ajipitishia posho kbao?

Tukiwa na viongozi waoga kama Sitta, Wanaoogopa kufukuzwa kwenye chama nchi itaenda wapi.

Mh Zitto alipofukuzwa bungeni kwa sababu ya Buzwagi na baadae ikathibitika kuwa alichokuwa anasema ni kweli ndiyo siku alipotuonyesha UZALENDO WA KWELI NA NDIYO HESHIMA ALIYONAYO MPAKA LEO KENYE JAMII YETU.

Kama Sitta ameogopa kufukuzwa basi na sisi tunaogopa kumpa heshima kama shujaa wetu.

Ama tuache kujadili au tukubali ukweli kuwa hatujui walipo wapambanaji wa ufisadi. Na Sitta si shujaa kwa sababu hakuna ushindi.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

nonsense - sijapenda kabisa comments zako - nafikiri hujui politics - sitta katimiza wajibu wake kama sitta.
kwa upeo wako wa kuelewa ulitaka akufanyie nini? wewe binafsi umefanya mangapi hata tu kwa familia yako mbali na taifa hili - tutamaliza pages kukuelimisha mtu kama wewe.
 
Luteni, wanadunda mitaani kwasababu only chance of freedom ya haki kutokea ilinyakuliwa na SITTA aka Mpiganaji... SITTA ametusaliti watanzania na yeye kusoma lile azimio la wabunge wa CCM kuvunja richmond hoja ilikuwa ni maslai yake zaidi na CCM... Hii nchi na bunge si la CCM yeye kwanini alikubadi kuvunja Hoja? je should we judge him by that au kilio chake cha anaonewa CCM? na kama anaonewa anafanya nini kule? IS this not a free country with Multi-polical parties?

Ina maana wewe tatizo lako kubwa ni la Sitta kusoma lile azimio la bunge na si wale wezi wa Richmond!
 
Narudia tena waungwana Mrema ni njaa tu wala sio mwanasiasa ni mganga njaa tu kama Mtikila, sasa hivi wanakula hela za EL na RA, wataongea any utombo, issue ya Sitta imeshawekwa wazi, kama Bunge lingeamua kutokukubaliana na utekelezaji wa maazimio ya Bunge kwa Serikali ingebidi Bunge lipige kura ya kutokua na imani na Raisi. Sio Sitta maamuzi ni ya Bunge. Na Serikali ilitekeleza maazimio ya Bunge,sasa aliyetakiwa kuwaadabisha kina Hosea na Mwanyika ni aliyewateua mie simjui!
 
Ndio hivyo tena wahenga wanasema kila lililo na mwanzo halikosi mwisho na huo ndio mwisho wa mzee wetu wa kiraracha,inasikitisha sana but no way out.
 
Ina maana wewe tatizo lako kubwa ni la Sitta kusoma lile azimio la bunge na si wale wezi wa Richmond!
Tatizo letu ni moja Tunaona sana madhaifu ya SITTA, ambae japo kajitahidi kutuonyesha namna wezi wanavyoiba mali ya UMMA, hata kama ameshindwa kulimalizia, nguvu ya Wabunge waoga ilikua kubwa, wengi ni bendera fuata upepo, na bila shaka wangekuja kutoa hoja yakupiga kura ya kutokua na Imani nae.
vyovyote iwavyo huyu jamaa SITTA amejitahidi sana, ameokoa Pesa nyingi kama Richmond na Dowans wangekua kwenye mkataba hadi leo.
Tunamuona SITTA mbaya tukiwasahau kina Lowassa, Karamagi, na wezi wengine wa mali ya Umma waliotuingiza kwenye matatizo.
 
Back
Top Bottom